CWT yapinga walimu kusafiri bure

CWT yapinga walimu kusafiri bure

konda : cheke cheke! abilia nauli

abiria: mi mwalimi

konda: onyesha kitambulisho

mwalimu: (anashika mfukoni) hiki hapa

konda (anakichukua kile kitambulisho na kukikodolea macho pande zote mbili)....

konda: (anarudisha kitambulisho) sasa mbona umekalia siti

mwalimu : kwan kuna tatizo?

konda: hebu wapishe waliolipa nauli wakae

mwalimu: (kwa hasira) hebu acha kunizaliliasha kijana

konda: (akimuangalia mwalimu usoni) hivi we unaona ni haki kukaa wakati alielipa nauli amesimama?

mwalimu (kimya)

konda: kwanza nyie walimu nina hasira na nyie sana

mwalimu (kwa ghadhabu) hasira?

konda: eeh kwanza mlinichapa sana bado nifeli.... na leo unapanda gari yangu huna nauli..

abiria wengine: hahahahahaha

konda: dah yani sipendi kupakia hizi chenga kubwa

mwalimu: nani chenga?

konda : yan wewe ni chenga kuliko huyo mwanafunzi unaemfundisha

mwalimu: (kwa tabasamu la aibu) kivipi?

konda : we umekalia siti hujalipa hata mia lakin dogo kasimama na amelipa 200..

konda (kwa kejeli) sasa sema wewe na dogo nan chenga?

mwalimu (kwa hasira anafungua pochi na kutoa sh 5000 ) kata mia nne yako mbwa wewe.


MAKONDA WAZO LAKO NI GUMU KUTEKELEZEKA LABDA MWALIMU AWE NA ROHO YA JIWE
 
Kumbe kuboreshewa maisha napo kunahitaji kuulizwa kama unataka au hutaki...huo ndo wajibu wa viongozi....lazima atengeneze mazingira ya uwepesi...badala ya kumpinga ni kutumia hiyo tabia yake ya kupenda sifa kumuomba aendelee kutatua shida nyingine

Inashangaza sana kuona hii tabia ya wa TZ pale linapofanyika jambo lazima lipingwe....leteni changamoto nyingine mambo yawe bora
 
Makonda hana washauri wazuri, nasema hivyo kwa sababu , kama hili likianza kutekelezwa walimu wengine nchi nzima watarespond vipi?, watumishi wengine wa umma watajihisi vipi?, hii inaweza kuleta migomo au madai ya posho ya nauli kwa watumishi wa umma. Kwa kifupi ni wazo linalobomoa badala ya kujenga, huu ni ulevi wa sifa
 
Nahc kama kunajambo ambalo makonda alishauriwa vibaya ni hili, swala la waalim kupanda magar buree ni unyanyasaji wa kijinsia, tena ni ubaguzi wa hali ya juu, na hii inataka kuchora pc kuwa waalim wanapata mshahara mdogo sana..

Hoja isingekuwa kuwasafirisha waalim bure ila wangetatua changamoto za waalm kwa kuboresha masilhi yao, na kuondoa changamoto zao, waalim hawana haja ya kutokulipa nauli,

Au makonda angekuja na hoja y usafiri wao kama puplic car au kuwakopesha vifaa vya usafr kwa mashart nafuu, haiingii akilin waalim kusafr buree watapata shida isiyokuwa na tija

Sina uhakika kama waalim watakubali, kwa mara ya kwanza katika uhai wangu wa jf naungana na g.mkoba..
wewe huna akili katu! Ungekuwa mwl usingeandika haya. Na hao watoto wako wanaonunuliwa mihogo na walimu pale unapokuwa hujampa pesa ya kula inakuwaje? Ungetoa ushauri wa jambo linalowezekana kwa kuanzia tena kwa vitendo na siyo nadharia.
 
Ni udhalilishaji.

Kwa mini bus zima wajue Fulani mwalimu?

Kwanini hizo fedha za kulipa wamiliki was daladala siswekwe katika a/c za walimu.

Wapewe allowance ya 2000 per day times 20 working days. Ni Kama 40,000 tu.
 
Mwenyekiti wa chama cha walimu Tanzania G. Mkoba amesema haoni kama ni sahihi kwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni kuingia kwenye makubaliano na wenye mabasi ya daladala ya kuwasafirisha walimu bure bila kuwashirikisha walimu wenyewe, hivyo ameshauri kuwa ni vizuri mambo yanayowahusu waalimu yakawa yanawashirikisha walimu.

Chanzo: Clouds tv
SIFA ZA SIASA MBAYA SANA
 
Wangewaongezea hela ya nauli kwenye mishahara yao hii ingeondoa nongwa,na hii ni kwa walimu wa Dar tu au? Muda mwingine sio kila wazo zuri ni wazo jema hili linahitaji mkakati tena uanzie bungeni na ipitishwe bajeti ya nauli kwa walimu Tanzania mzima kupitia mishahara yao! Asipokuwa makini makonda ataingia mgogoroni na bunge pia kama sio viongozi wa chama cha walimu!
Kwa akili yako mwalimu wa Manyovu anapanda daladala? Je, wazo hili ni la serikali kuu au ni initiative ya sehemu husika? Poleni sana
 
Humu wote madomo makubwa kuwa wasemaji wa walim walimu wenyewe wamefurahi au nyinyi mnaona wivu watanzania hata uwafanyie nini labda cjui uwatie jiti la jicho ndio watashukur hua mnakosa ya kuongea mtu kama kabuni jambo jema je huyo kiongoz wa walim yy alikua wapi aache upumbavu wake
Tangu siasa uchwara za vyama vingi, watsnzania wamekuwa na madomo mpaka basi. Kila hoja itapimwa kwa mwelekeo wa kisiasa hata kama ni ya kiutendaji zaidi.
 
Sijui nikutukane? Mtu kakesha nje we umelala kwa raha zako na mumeo then aanze tu kutoa nauli... Yaani afanye kazi mbili alipe huku akiendelea kukulinda...!!!!!
Hiyo si kazi yake jamani na analipwa kwa hilo.
 
Humu wote madomo makubwa kuwa wasemaji wa walim walimu wenyewe wamefurahi au nyinyi mnaona wivu watanzania hata uwafanyie nini labda cjui uwatie jiti la jicho ndio watashukur hua mnakosa ya kuongea mtu kama kabuni jambo jema je huyo kiongoz wa walim yy alikua wapi aache upumbavu wake
Shida ya waalimu sio dala dala
au ushawai sikia wakilalamikia usafiri?

Waalimu waboreshewe mazingira Leo mwalimu wa dar akipanda dala dala bure Yule wa kijijini inakuaje?

Tatizo awa jamaa wakurupukaji yani amnazo kabisa
Kuna waalimu mwisho wa mwezi kwenda kupokea mshahara anatumia zaidi ya sh 20000 tu kwa ajili ya nauli ya kufuatilia mshahara mjini hah kweli Na falsafa yao HAPA KAZI TU

Ujumbe wa nyongeza

majipu majipu mpaka Leo majipu yanatumbuliwa mwananchi ajui faida ya kutumbua majipu.
Bidhaa bei zinapanda kiholela holela tu
 
Yeye Mkoba hajui shida za walimu badala ya kushukuru yeye anaanza kulaumu ,nia apate ujiko kuwa alishiriki kufanikisha hilo jambo,huo ni wivu wa kike,jeyeye na chama chake ni kipi wamefanya kusaidia waalimu kuondokana adha ya maisha duni na tabuwanazopata kila siku
Afanye nini sasa kusaidia yeye ndiye mwajiri wa walimu?.
 
mimi sioni tatizo kwani itakuwa ni lazima kila mwalimu asafiri bure ? au itakuwa kwa anayetaka tu?
Hakuna TATIZO Ila KUNA VITA TU YA KISIASA.Kuna watu wamemkamia makonda bila hata sababu za msingi.
 
Shida ya waalimu sio dala dala
au ushawai sikia wakilalamikia usafiri?

Waalimu waboreshewe mazingira Leo mwalimu wa dar akipanda dala dala bure Yule wa kijijini inakuaje?

Tatizo awa jamaa wakurupukaji yani amnazo kabisa
Kuna waalimu mwisho wa mwezi kwenda kupokea mshahara anatumia zaidi ya sh 20000 tu kwa ajili ya nauli ya kufuatilia mshahara mjini hah kweli Na falsafa yao HAPA KAZI TU

Ujumbe wa nyongeza

majipu majipu mpaka Leo majipu yanatumbuliwa mwananchi ajui faida ya kutumbua majipu.
Bidhaa bei zinapanda kiholela holela tu
HUJUI CHOCHOTE ZAIDI YA KUZUNGUSHA MIKONO TU.
 
Hii ni kutafuta kick ya kisiasa kwa mheshimiwa, kama suala ni kusaidia walimu kwenye usafiri kwa nn asitoe transport allowance kwa walimu ambayo haiwezi kuzidi 30000 kwa mwezi kwa kila mwalimu kuliko usumbufu huu anaotaka kuuleta kati ya mwalimu na konda wa daladala.
 
Kama kuna mwalimu naomba atusaidie mchanganuo bas kwa.mwezi anatumia Tsh ngap kwaajili ya nauli?
 
Hii ni kutafuta kick ya kisiasa kwa mheshimiwa, kama suala ni kusaidia walimu kwenye usafiri kwa nn asitoe transport allowance kwa walimu ambayo haiwezi kuzidi 30000 kwa mwezi kwa kila mwalimu kuliko usumbufu huu anaotaka kuuleta kati ya mwalimu na konda wa daladala.
Ha ha ha we kichaa kweli kwaiyo kila mwalimu apate 30 elfu kila mwezi…!!!
 
HIVI HUYU ALIYELETE HOJA YA WALIMU KUSAFIRI BURE ALIKUA ANAWAZA NN MAANA, KAMA NI MSAADA KWA WALIMU NAONA KAMA SERIKALI ITAKUA HAIJATOA MSAADA, KAMA WANAHITAJI KUWASAIDIA BASI WAWALIPE STAHIKI ZAO ZOTE NA MADENI YOTE HALAFU KILA MWALIMU ALIPE NAULI KAMA KAWAIDA ILI KUONGEZA KIPATO CHA TAIFA, LAKIN HII DANGANYA TOTO HAIFAI, MAANA HATA MANUFAA YAKE BADO CJAYAONA KAMA NI KUTAKA WAWAHI KAZINI ILIBIDI WATAFUTIE USAFIRI MAALUM, KAMA NI KUPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA ILITAKIWA WAPEWE MISHAHARA MIZURI, NA WALIPWE MADENI YOYE, KAMA NI MOTIVATION ILI BIDII KUWE NA UTARATIBU MAALUM WA KUTUMI USAFIRI MMOJA KWA WALIMU WOTE........HIVI NI NINI HASA MANTIKI YA HOJA HII NAFIKIRI HII NDIYO KAZI TUU, ILA SI KAZI BORA
Mkuu umehoji vema sana kwakweli huu kwanza ni uzalilishaji juu ya kitengu cha walimu Walimu wamevulia mengi sana wana dai stahiki nyingi sana .Lakini niwapi Makonda alifika kwenyeshule akaambiwa walimu hajafika Leo kazini kwa sababu hawana nauli .Nisawa kutafuta sifa husausani ukishasifiwa kwa hili makonda awaombe radhi waalimu .waalimu pamoja na matatizo yote waliyonayo hakuna hata siku moja wameshindwa kuhudhuria kazini kisa nauli.
 
Back
Top Bottom