middy issack
Member
- Sep 17, 2015
- 65
- 9
Mi naona makonda yuko poa sana coz hiyo huduma ka amua kuwasaidia walimu wake ndani ya wilaya, sijaona wala kusikia dc wala rc katowa mawazo chanya kwa mwalimu, hongera makonda umedhubutu
Huku ni kuwapunguzia kero ndogo ndogo. Huu ni mwanzo, lakini watanzania uchwara watataka kila kitu kitokee overnight. Hivi tumerogwa na nani? Hatujui hata tupinge nini, kila kitu ni siasa. Hovyo kabisa. Maendeleo ni hatua, sio kufumba na kufumbua.Pole wape walimu mnaowatumia kisiasa zaidi badala ya kutengeneza mfumo endelevu,mwanae alipe mia mbili and at the same time yeye anapanda bure! Mnawatengenezea aibu jibu ni kuwakopesha vyombo vya usafiri au muwaongezee hela ya nauli kwenye mishahara yao