Walimu wapande daladala bure kwa msingi upi?! Wawai shuleni kufundisha watoto wetu?! Labda hili lina mantiki, lakini je, kwanini manesi na madaktari wasipande daladala bure ili kuwai kuokoa maisha ya ndugu zetu watanzania wenzetu?
Na kwanini wanajeshi na polisi nao wasisafiri bure ili wawahi vituo vyao vya kazi ili kutulinda sisi wananchi?!
Na kwanini wafanyakazi wa serikali wasipande daladala bure ili wawahi kwenye ofisi za umma kuhudumia wananchi??!
Na kama walimu wanapanda bure na angali wanalipwa mishahara kwann wanafunzi ambao hawalipwi mshahara nao wasipande bure hizo daladala??!
Binafsi sioni logic ya mwanafunzi kulipia afu mwalimu asilipie, this is crayz!!
Huyu Makonda need to be checked! He is not okay, kama ni kutafuta political kick this is not right.
tuanzishe thread ya kuwahoji walimu,watasemaje?Watu kama nyie ni Chakula Bora ya ccm
Kwan nesi anaingia kwenye daladala kutibu watu?!
!
Vipi kuhusu manesi?
Hiv ww ni mgeni apa Tanzania yani wiki tu yote yengekuwa ayafanyi kazimimi naona afadhali angefanya utaratibu wa kununua STAFF BUSES... Mbona wanajeshi asa hivi wana "military buses"
Lengo lake linaweza likawa zuri ila idea yake ya kufanikisha ilo lengo ndo utata unaazia apo....
Alaf ingekua poa zaidi kama ayo mabasi yanakua STAFF kwa wafanyakazi wa Manispaa nzima... inawezekana kabisa kufanikisha ilo jambo!!
Mwenyekiti wa chama cha walimu, ni zaidi ya wale ambao mheshimiwa Nape aliwahi kuwaita mawaziri mizigo, nawewe ni MWENYEKITI MZIGO. Mheshimiwa Makonda, bila kujali wazo litaleta manufaa au hapana, ila kikubwa amafanikiwa kuanzisha mjadala kuhusu maslahi na UMUHIMU wa walimu katika kukuza kiwango cha elimu. Hakuna kiongozi mwenye busara anayeweza kupinga wazo lake bila kutoa mbadala. Inawezekana isizae matunda lakini amefanikiwa kukumbusha....JE WEWE MKOBA UMEFANIKIWA NINI, AU UMEFANIKIWA KUKOSOA? kaendelee kukusanya kodi ya jengo letu...Mwenyekiti wa chama cha walimu Tanzania G. Mkoba amesema haoni kama ni sahihi kwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni kuingia kwenye makubaliano na wenye mabasi ya daladala ya kuwasafirisha walimu bure bila kuwashirikisha walimu wenyewe, hivyo ameshauri kuwa ni vizuri mambo yanayowahusu waalimu yakawa yanawashirikisha walimu.
Chanzo: Clouds tv
Hivi huyu taka taka Mkoba anafikiri hii ni sheria? Hii ni zawadi tuu kwa walimu wa Dar na hakuna anaye lazimishwa kuichukua? Zawadi hii haimzuii Mkoba kuendelea kupigania haki za Walimu!Mwenyekiti wa chama cha walimu Tanzania G. Mkoba amesema haoni kama ni sahihi kwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni kuingia kwenye makubaliano na wenye mabasi ya daladala ya kuwasafirisha walimu bure bila kuwashirikisha walimu wenyewe, hivyo ameshauri kuwa ni vizuri mambo yanayowahusu waalimu yakawa yanawashirikisha walimu.
Chanzo: Clouds tv
Weye NgoniDema na Watu wengi wenye fikra Kama zako .Mnaonyesha Chuki na WIVU mliokuwanao dhidi ya DC Makonda. Huyu DC Makonda ni mzalendo ambaye anajali watu wa Kinondoni. Kaangalieni alivyo ibadilisha Kinondoni.kuhusu Ardhi,Ajira kwa vijana na kujenga shule kwa misaada ya wananchi.Nilisha sema humu ndan na narudia tena ktk Wakuu wa Wilaya wa ovyo kabsa toka tupate Uhuru Makonda ni namba1, hivi kwann asingefanya mpango huwo kwa wanafunz wakapanda bure!!
Nahisi wewe ni makonda a.k.a wakukurupuka.Yeye Mkoba hajui shida za walimu badala ya kushukuru yeye anaanza kulaumu ,nia apate ujiko kuwa alishiriki kufanikisha hilo jambo,huo ni wivu wa kike,jeyeye na chama chake ni kipi wamefanya kusaidia waalimu kuondokana adha ya maisha duni na tabuwanazopata kila siku
Mkoba anawakilisha maslahi ya nani...unajua watu wanaichukulia hii issue ni kama vile Amri imetolewa kumbe wala... asiye taka hachukui kitambulisho anayetaka anapewa ... take it as a favor mnapewa na wamiliki wa mabasi kutokana na mchango wenu kwa watoto wao na sio sheria
Mkoba ni jipu 100%..Nina msimamo wangu juu ya Makonda, nikisikia tamko lakupinga ametoa kiongozi wa UKAWA au mwanaharakati mwingine nitatafakari mawazo yake ILA, Mkoba wewe ni Jipu, Mnyonyaji wa wa walimu, na tunatafakari jinsi ya kukutumbua. Kifupi hauna sifa wala haustahili kuongea kwa niaba ya Mwalimu. HAUNA TOFAUTI NA WALE VIONGOZI WANAOBAKA DEMOKRASIA. Unabahati ya sheria za mtandao. TENA WALIMU WANAHASIRA NA WEWE LAITI UNGELIJUA....