binjo
JF-Expert Member
- Feb 22, 2016
- 2,115
- 1,247
Si kweliWatu kama nyie ni Chakula Bora ya ccm
Si kweliWatu kama nyie ni Chakula Bora ya ccm
HahahahahahahahajahSifa nyingine bwana ni hatari,sasa hata mwalimu hujaongea nae kama anashida ya nauli,unakurupuka tu ,unataka wasafiri bure kwenye daladala!!basi waambie wakachukue na mboga bure kariakoo!!!
you made my day mkuu nimecheka mpaka basi.Ila kama nitakuwa sijakosea kwa kauli aliyoitoa Makonda alisema pande zote waliafikiana(wamiliki wa daladala na waaalimu). So it means huyu jamaa ameudanganya umma wa watanzania???Sifa nyingine bwana ni hatari,sasa hata mwalimu hujaongea nae kama anashida ya nauli,unakurupuka tu ,unataka wasafiri bure kwenye daladala!!basi waambie wakachukue na mboga bure kariakoo!!!
Sijui nikutukane? Mtu kakesha nje we umelala kwa raha zako na mumeo then aanze tu kutoa nauli... Yaani afanye kazi mbili alipe huku akiendelea kukulinda...!!!!!!
!
Binafsi nimshukuru Bwana Mahkonda kwa hili. Huenda alifanya kwa mizuka tu ya kupenda sifa na kiherehere lakini ataibua mjadala wa uhalali wa kada nyingine kama Polisi na wanajeshi kupanda daladala bure na kwa nini sio manesi na madaktari.
Teh teh teh..Mtu anakunywa DROSTDY HOF CLARET, baada ya hapo anaamua akitakacho!Mzuka ulimpanda, Sugu alishawaambia waache kuongoza kwa mizuka.
Ni kama umetoe kauli za wivuu hv.Hili wazo la Makonda likataliwe kwa nguvu zote. Halitekelezeki na lina lengo la kumdhalilisha mwalimu ili Makonda apate sifa. Walimu msikubaliane na hili wazo bovu la karne ya 21.
Utajisikiaje ukija kugundua mwenyekiti wa mtaa na viongozi wengine walikuwa wanakufanyia kikao cha kukununulia suruali na shati, kwa sababu kwa tathmini zao wewe una maisha magumu? Utashukuru au?mimi sioni tatizo kwani itakuwa ni lazima kila mwalimu asafiri bure ? au itakuwa kwa anayetaka tu?
Na wanafunzi je hao ndo wana uwezo kuliko walimu????Yeye Mkoba hajui shida za walimu badala ya kushukuru yeye anaanza kulaumu ,nia apate ujiko kuwa alishiriki kufanikisha hilo jambo,huo ni wivu wa kike,jeyeye na chama chake ni kipi wamefanya kusaidia waalimu kuondokana adha ya maisha duni na tabuwanazopata kila siku