mulugo with fake IDnimefuatilia sana michango ya sugu akiwa bungeni na katika jamii kwa ujumla nimeona kuwa michango mingi ya mbilinyi huwa siyo ya kiwered sana bali huwa ni michango iliyokaa kimzaha na kuchekesha,niliwaza sana lakini nikabaini kuwa kunatatizo la elmu alilonalo ikumbukwe kuwa sugu alifukuzwa mbeya sec kwa utovu wa nidhamu na historia haioneshi kama alisoma shule yoyote hapa nchini baada ya kufukuzwa mbeya sec
shida kubwa ni hizi sifa za watu kuwa wanasiasa. panahitajika mjadala mkubwa ili wabunge wawe na viwango maalum vya elimu. haitoshi kwa mtu kujua kusoma na kuandika tu. matokeo yake tunapata watu wa design ya akina sugu. hata wanapotoa michango yao bungeni inakosa mvuto na inakposa kuwa na tija
Hauwezi kuona utata huo kwa vile CHADEMA nzima wako hivyo kuanzia Mwenyekiti, Katibu mkuu, Mkurugenzi wa uenezi na wengine wengi, kwa hiyo huwezi kuona utata kwa sugu kwa vile ni mtu mdogo sana.
nimefuatilia sana michango ya sugu akiwa bungeni na katika jamii kwa ujumla nimeona kuwa michango mingi ya mbilinyi huwa siyo ya kiwered sana bali huwa ni michango iliyokaa kimzaha na kuchekesha,niliwaza sana lakini nikabaini kuwa kunatatizo la elmu alilonalo ikumbukwe kuwa sugu alifukuzwa mbeya sec kwa utovu wa nidhamu na historia haioneshi kama alisoma shule yoyote hapa nchini baada ya kufukuzwa mbeya sec
Hebu tuambie michango ya Chenge Bungeni aliye soma Harvad, Wabongo tumekalia ana ishu za Vyeti, Nchi kama USA walio ifikisha hapo ilipo hawakuwahi kwenda shule watu kama Thomas Edson, Mchael Dell, wakina BILL hawajaenda shule ila ndo walio ibadili USA, huku tunakomaa na vyeti,
Tanzania tutakuja kubadilika tukiachana na elimu za vyeti
Kutoenda shule ukiwa unamaanisha nini? Unataka kutuambia hao uliowataja hawajakanyaga shule kabisa? Hivyo vitu wanavyovifanya wameoteshwa?
utata wangu ni ple tunapokuwa na mwakilishi ambaye hawezi kutoa na kuwa na mipango ya kuwasaidia wanaichi wake sasa wakazi gani mtu kama huyu jimboni.
Unajua maana ya neno kielelezo au Vielelezo? au na wewe elimu yako ina utata?
Mimi nikisema tu kuwa wewe hujamaliza form four katika shule uliyofukuzwa tayari nitakuwa nimekupa kielelezo cha utata wa elimu yako??
Kwani sugu hajakanyaga shule kabisa.......
Wenye elimu zao ni kina Dr. Shukuru Kawambwa na Mulugo! Elimu ni zaidi ya vyeti.