CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

mkuu CHADEMA ni Chama cha mambumbumbu. hivyo usishangae kukuta watu wa aina hiyo. kwa taarifa yako sugu ana uafadhali. unajua sifa za baba yao MBOWE?
 
Kafikisha ujumbe ambao wengine hatukua tunajua mkuu, mbona unaweweseka? ingependeza kama ungekanusha utata wa elimu ya SUGU kwa vielelezo badala ya kuishia kuweweseka.

amekupa kielelezo gani ku-justify utata anaodai wa elimu ya Sugu?
 
sasa utata uko wapi hapo? Wewe ambaye elimu yako haina utata una faida gani kwa taifa?

utata wangu ni ple tunapokuwa na mwakilishi ambaye hawezi kutoa na kuwa na mipango ya kuwasaidia wanaichi wake sasa wakazi gani mtu kama huyu jimboni.
 
Sugu hana tabia chafu ya kughushi vyeti, tunaanza kupambana na mafisadi wa elimu.kiongozi wa juu kutumia majina tofauti na vyeti ni uhuni.Mulugo must go hana sifa ya kupambana na muadilifu Mr.Sugu

Wekeni cheti cha SUGU hapa jamvini, leo ni zamu yake , mbona tunataka kupindisha mada jamani, tutokomeze kelele zisizo na tija bungeni kwa kuwaumbua hawa vihiyo.
 
amekupa kielelezo gani ku-justify utata anaodai wa elimu ya Sugu?

si kasema tangu amefukuzwa sekondari hakuna uthibitisho kuwa AMEMALIZA KIDOTO CHA NNE? kama una hoja za kumpinga mtoa mada tudadavulie
 
Hebu tuambia michango ya Chenge Bungeni aliye soma Harvad, Wabongo tumekalia ana ishu za Vyeti, Nchi kama USA walio ifikisha hapo ilipo hawakuwahi kwenda shule watu kama Thomas Edson, Mchael Dell, wakina BILL hawajaenda shule ila ndo walio ibadili USA, huku tunakomaa na vyeti,

Tanzania tutakuja kubadilika tukiachana na elimu za vyeti

hao walioibadili USA hawakuwa wa design ya akina SUGU. SUGU ni wa design ya akina 2PAC AMAR SHAKOUR, na wengineo ambao walidhani wataibadili marekani kwa njia ya kufoka
 
si kasema tangu amefukuzwa sekondari hakuna uthibitisho kuwa AMEMALIZA KIDOTO CHA NNE? kama una hoja za kumpinga mtoa mada tudadavulie

Unajua maana ya neno kielelezo au Vielelezo? au na wewe elimu yako ina utata?

Mimi nikisema tu kuwa wewe hujamaliza form four katika shule uliyofukuzwa tayari nitakuwa nimekupa kielelezo cha utata wa elimu yako??
 
amekupa kielelezo gani ku-justify utata anaodai wa elimu ya Sugu?
alifukuzwa mbeya sec na hakuna popote inaonesha alisomatena kama mtoa hoja kasema uongo sugu ajitokeze na aseme kahitimu shule gani na ataje mwaka na namba yake ya mtihani.
 
sasa utata uko wapi hapo? Wewe ambaye elimu yako haina utata una faida gani kwa taifa?

Hauwezi kuona utata huo kwa vile CHADEMA nzima wako hivyo kuanzia Mwenyekiti, Katibu mkuu, Mkurugenzi wa uenezi na wengine wengi, kwa hiyo huwezi kuona utata kwa sugu kwa vile ni mtu mdogo sana.
 
Wekeni cheti cha SUGU hapa jamvini, leo ni zamu yake , mbona tunataka kupindisha mada jamani, tutokomeze kelele zisizo na tija bungeni kwa kuwaumbua hawa vihiyo.

Sugu inawezekana hakufaulu lakini hajaghushi kama hilo kanyanga lenu.Mbele ya sheria sugu hana hatia lakini Mulugo has a case to answer.ajira ya sugu kaajiriwa na wananchi kama mbunge na anakidhi viwango vya kuwa Mbunge, maana mbunge darasa la saba anakubalika.Tunataka Mulugio aeleze alifiaje kuajiriwa kama head master wakati hakuwa na vigezo??? funga mulugo
 
mkuu CHADEMA ni Chama cha mambumbumbu. hivyo usishangae kukuta watu wa aina hiyo. kwa taarifa yako sugu ana uafadhali. unajua sifa za baba yao MBOWE?

Unajua Elimu ya Zuma wa South Africa? na Unajua anaongoza Taifa la namna gani? Huu ni muda wa kazi nyie mnafanya majungu, wewe kama si mwana mke basi ni mwana mme mwenye homoni za kike
 
Hata Kama hakuhitimu ila anawakilisha vema!! Mda mwingine tuchague watu na sio kuangalia hawa wasomi wa vyeti!! Wengi wao ni WEZI wa kalamu hakuna lolote zaidi ya kuifisadi nchi!! SUGU anawakilisha vema!
 
Back
Top Bottom