Tunataka matendo sio elimu ya makaratasi ambayo necta wanavujisha mitihani alafu inaonekana mtu kafaulu sana wkt anafeli kufanya kazi
Leo hii yamekuwa hayo, elimu inaonekana sio issue coz mhusika ni ......!!!!, Ah! wasomi hao. Jamani hao ndio watu kila mara wanatamba huku na huko kuwa "SISI TUMESOMA", kumbe elimu yenyewe ndio hiiiiiiii??? Lakini sishangai hata mwenyekiti wetu wa chama (CHADEMA) ni DJ wa madisco hapa nchi thus why hata wanachama na wabunge wa chama hicho ni wanamuziki.