Likwanda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 3,926
- 1,159
Hivi huwa anatumia Joseph Mbilinyi au Sugu, maana yumo humu humu jukwaani hivyo alitakiwa aje ajibu mwenyewe.
Last edited by a moderator:
hao walioibadili USA hawakuwa wa design ya akina SUGU. SUGU ni wa design ya akina 2PAC AMAR SHAKOUR, na wengineo ambao walidhani wataibadili marekani kwa njia ya kufoka
shida kubwa ni hizi sifa za watu kuwa wanasiasa. panahitajika mjadala mkubwa ili wabunge wawe na viwango maalum vya elimu. haitoshi kwa mtu kujua kusoma na kuandika tu. matokeo yake tunapata watu wa design ya akina sugu. hata wanapotoa michango yao bungeni inakosa mvuto na inakposa kuwa na tija
Hata Kama hakuhitimu ila anawakilisha vema!! Mda mwingine tuchague watu na sio kuangalia hawa wasomi wa vyeti!! Wengi wao ni WEZI wa kalamu hakuna lolote zaidi ya kuifisadi nchi!! SUGU anawakilisha vema!
Ndugu ya ngu Aman simba. kuna maprofesa wangapi TZ? na wameisaidiaje nchi? Bora Sugu pamoja na elimu yake aliyo nayo katufanyia mambo angalau na barabara za mitaa sasa zinapitika.alifukuzwa mbeya sec na hakuna popote inaonesha alisomatena kama mtoa hoja kasema uongo sugu ajitokeze na aseme kahitimu shule gani na ataje mwaka na namba yake ya mtihani.
Jicho3 na wenzako nyie ni wajinga wa hali ya juu.CV YA SUGU mbona ipo wazi sana,yeye hakuwahi sema amesoma sana na ndo mana watu wake alofanya nao kazi wengi wao ni MACHINGA kabla ya kuingia ktk muziki na ukweli muziki umemsaidia sana.Swali sasa kwenu magamba"MLIMSIKIA WAPI AKIJINADI KUWA AMESOMA SANA?au kwa vile alitoa siri ya mulugo a.k.a "HAMIMU"na mmeamua kutuamisha ktk hoja etu dhidi ya CV ya amimu?duuh..Magamba bwana 2015 KWAHERINI...KO..KO..KO.
Unajua Elimu ya Zuma wa South Africa? na Unajua anaongoza Taifa la namna gani? Huu ni muda wa kazi nyie mnafanya majungu, wewe kama si mwana mke basi ni mwana mme mwenye homoni za kike
Ndugu ya ngu Aman simba. kuna maprofesa wangapi TZ? na wameisaidiaje nchi? Bora Sugu pamoja na elimu yake aliyo nayo katufanyia mambo angalau na barabara za mitaa sasa zinapitika.
Siyo karne hii wewe, bunge siyo kijiwe cha muziki, tunajidanganya, kawakilisha nini vema? kuandaa kuhamasisha maandamano na vurugu?
nimefuatilia sana michango ya sugu akiwa bungeni na katika jamii kwa ujumla nimeona kuwa michango mingi ya mbilinyi huwa siyo ya kiwered sana bali huwa ni michango iliyokaa kimzaha na kuchekesha,niliwaza sana lakini nikabaini kuwa kunatatizo la elmu alilonalo ikumbukwe kuwa sugu alifukuzwa mbeya sec kwa utovu wa nidhamu na historia haioneshi kama alisoma shule yoyote hapa nchini baada ya kufukuzwa mbeya sec
nadhani sugu akitoa ushuhuda wake yote yatakuwa wazi kwani nimeongea na watu waliokuwa kwenye kampeni zake za ubunge wanabainisha ukweli kuwa sugu hajamaliza elimu ya sekondarialifukuzwa mbeya sec na hakuna popote inaonesha alisomatena kama mtoa hoja kasema uongo sugu ajitokeze na aseme kahitimu shule gani na ataje mwaka na namba yake ya mtihani.
Siyo karne hii wewe, bunge siyo kijiwe cha muziki, tunajidanganya, kawakilisha nini vema? kuandaa kuhamasisha maandamano na vurugu?
Siyo karne hii wewe, bunge siyo kijiwe cha muziki, tunajidanganya, kawakilisha nini vema? kuandaa kuhamasisha maandamano na vurugu?
shida kubwa ni hizi sifa za watu kuwa wanasiasa. panahitajika mjadala mkubwa ili wabunge wawe na viwango maalum vya elimu. haitoshi kwa mtu kujua kusoma na kuandika tu. matokeo yake tunapata watu wa design ya akina sugu. hata wanapotoa michango yao bungeni inakosa mvuto na inakposa kuwa na tija
Wekeni cheti cha SUGU hapa jamvini, leo ni zamu yake , mbona tunataka kupindisha mada jamani, tutokomeze kelele zisizo na tija bungeni kwa kuwaumbua hawa vihiyo.
tatito ta watanzania wengi wana uwelewa mdogo sana,ndo mana wanafikiri maendeleo yanaletwa na wasomi tu.Jicho3 na wenzako nyie ni wajinga wa hali ya juu.CV YA SUGU mbona ipo wazi sana,yeye hakuwahi sema amesoma sana na ndo mana watu wake alofanya nao kazi wengi wao ni MACHINGA kabla ya kuingia ktk muziki na ukweli muziki umemsaidia sana.Swali sasa kwenu magamba"MLIMSIKIA WAPI AKIJINADI KUWA AMESOMA SANA?au kwa vile alitoa siri ya mulugo a.k.a "HAMIMU"na mmeamua kutuamisha ktk hoja etu dhidi ya CV ya amimu?duuh..Magamba bwana 2015 KWAHERINI...KO..KO..KO.