Current THREADS za Mh. Regia Mtema... A Guide Thread

asante sana ashadii hii inarahisisha mambo,
naomba uweke link zote hapa zinazomhusu Regia.
Kuna ile thread ya wanajf kukutana british council kumuenzi Regia naitafuta siioni,nitafurahi ukiweka link yake.
 
Thread yangu "Regia Umeniliza" Moderator mmoja humu mwenye roho ya kifisadi aliamua kuiyayusha na kuunganisha kama post kwenye thread ya tribute ya Mzee Mwanakijiji. Why?

kwa hili nakuunga mkono,hawakukutendea haki,kila mtu ana namna yake kuomboleza..uwezi kuunganisha namna ya kuomboleza baina ya watu wawili.
 
Ashadii aren't you a sweetheart and thoughtful? Asante kwa uzi huu. Nitakugongea like nikiwa kwa PC

Ahsante sana dada maana kuna thread nyingine zilinipita kushoto.............. sasa hapa nitazisoma kwa utuvu

AshaDii!

Kweli humu Jf tuna vichwa haswa!
Hongera zako jamani!

Ashadii nakukubali siku zote mkuu.

vizuri sana da asha umerahisisha,
may god reward you.

Unaweza ligi weye?

Adii ahsante sana sisy!
Una moyo mkubwa sana kama jiwe walilolikataa waashi....
Think u know the story lol

The above... I am humbled by your acknowledgements.... THANK YOU.

AshaDii... Respect!

Roulette... Respect Reciprocated. ALWAYS.... And Thanks Love...

Kumbe Ashadii ni moderator?

Nipigie Debe Complicator, just make sure ukiwa wafanya hivo present it simply na do not complicate it.

asante sana ashadii hii inarahisisha mambo,
naomba uweke link zote hapa zinazomhusu Regia.
Kuna ile thread ya wanajf kukutana british council kumuenzi Regia naitafuta siioni,nitafurahi ukiweka link yake.

Queen hopefully umeona... ndio the last addition dear....

nimegonga kabatani na kuondoka zangu
uzi huu naona wa ma-premium tu.......!!!!!!!!!!!!!!!

Genuinely... Did not expect such comment from you.... Hapa yeyote ahusika kama wewe ulivohusika acha hizo bana! lol... BTW siku nyingi mkuu, I hope ni mzima wa afya.
 
Thread yangu "Regia Umeniliza" Moderator mmoja humu mwenye roho ya kifisadi aliamua kuiyayusha na kuunganisha kama post kwenye thread ya tribute ya Mzee Mwanakijiji. Why?
Umemkubali Regia baada ya kuwa amefariki?
 
Mimi nipo ifakara sasa nitajabiru sasa kiwanjani karibu na polisi Ifakara na watu wapo kibao wanashubiri mwili uletwe pale
 
Between the two minds ...competitive and creative ....

I would put you in Creative Mind with Pas

... I enjoyed your creativity in this thread ...

RIP R Mtema
 
Na baadaye tutaanzisha thread nyingine ya kuonyesha michango yake yote hapa JF kama njia ya kumuenzi na kuwasaidia wale member wapya kujua GS au Regia alikuwa akifanya kazi kubwa kivipi hapa JF hadi aenziwe hivi.
 
Na baadaye tutaanzisha thread nyingine ya kuonyesha michango yake yote hapa JF kama njia ya kumuenzi na kuwasaidia wale member wapya kujua GS au Regia alikuwa akifanya kazi kubwa kivipi hapa JF hadi aenziwe hivi.
 
Genuinely... Did not expect such comment from you.... Hapa yeyote ahusika kama wewe ulivohusika acha hizo bana! lol... BTW siku nyingi mkuu, I hope ni mzima wa afya.

Sasa ashadii, niliona karibu wachangiaji wote ma-premium na mimi nikatamani kuwa premium na kujiondokea zangu. Lakini pia nilitaka kukutabasamisha maana naona msiba umekutia simanzi sana.
 
Back
Top Bottom