Current Situation In Rwanda!

Current Situation In Rwanda!

Kukamatwa kwa akina Sankara ni jambo nzuri sana kwakuwa inaonesha kuwa kuna attempts, trials are numbers iko siku akina sankara na akina rwigara hawatakamatwa. Hii ndo nature ya trials

Ni kweli kabisa,hio siku hawatakamatwa tena maana muda huo watakua wanaitwa hayati kama wale wanaomalizwa Congo daily.
 
Nadhani unachonena kinaukweli ila hakina uhalisia: mimi sikuamini Kama qadaf angeangushwA KWASABABU alikuwa na wananchi wengi wanaompenda, vilevile hata baadhi ya marais wa nchi za afrikaa walikuwa wanampenda because alikuwa akiwasaidia. Ni ajabu kuwa aliamgishwa as if ni kiongozi wa wanamgambo. Nakushauri wakati ukofikiri kuwa hakuna anayemuweza Paul ufikirie kuwa nature ipo pia. Naamin hii video itakuongezea uelewa kama bado uelewa wako una room ya kuelewa

Ninachokisema hao unawasema sijui Nyamwasa,wakina late Karegeya na watu wa dizaini hio hata wajiunge makunde yote unayoyajua hawana ubavu wa kumtoa Kagame hata kumtikisa tu hawawezi,anazo size zake lkn sio hao uliwaowataja.

Hizi story za kina Ghadafi ni story kama nyingine tu,hivi wakina lee kuan Yew,fidel castro etc wenyewe sijui walitolewa na nani madarakani.

Na uzuri baada ya Ghadafi kutolewa madarakani sasa Libya kuna amani ya kufa mtu,demokrasia imetamalaki na maisha ni mazuri sana kama ya Ulaya vile hahah.
 
Kweli sasa JamiiForums imekuwa kimbilio la wengi wanyonge kuweza kupata nafasi kuelezea kichoendelea nchini mwao, iwe Kenya, Omani, Zanzibar, Canada, Australia au Tanganyika.

Hakika JamiiForums ni fahari yetu wote waongea kiSwahili duniani pote.
 
Kuna mtu role model wa KAGAME pia anajifanznisha na Nyerere sasa sijui tuwasaidieni vipi majirani.HATA SISI TUNAELEKEA KWENYE NAMNA HIYO HIYO YA UTAWALA.MUNGU TUSAIDIE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachokisema hao unawasema sijui Nyamwasa,wakina late Karegeya na watu wa dizaini hio hata wajiunge makunde yote unayoyajua hawana ubavu wa kumtoa Kagame hata kumtikisa tu hawawezi,anazo size zake lkn sio hao uliwaowataja.

Hizi story za kina Ghadafi ni story kama nyingine tu,hivi wakina lee kuan Yew,fidel castro etc wenyewe sijui walitolewa na nani madarakani.

Na uzuri baada ya Ghadafi kutolewa madarakani sasa Libya kuna amani ya kufa mtu,demokrasia imetamalaki na maisha ni mazuri sana kama ya Ulaya vile hahah.
Mkuu usiji imanishe sana. Mi kwa ujumla nawaonea huruma Wa RW wote. Wamejikuta wamezaliwa na kuishi ktk nchi ambayo kuna jinamizi baya sana la ukabila kwa Hutu na Tusi wote hakuna afadhali.

Hata ukipitia comments humu utakuta Mtusi anajimwambafai sana na wengine wako upande kutetea upande wa pili wakati wengine wanasema Rais aliyepita Mhutu alitesa sana tu Wa Tusi.

Ninachotaka kusema kama kweli PK nae anaendekeza ukabila na anazidi kupanda chuki dhidi ya kabila nyingine basi anapanda mbegu mbaya bila kujijiua. Bora Mungu amsaidie aishi maisha marefu nae mchango wake kama ni chanya watu watamkumbuka.

Ila usidhani kila mapinduzi ni jeshi au sijui watu watokee msituni.

Hao watoto wa waliodhulumiwa kama kuna mmoja ataamua kama iwe mbwai na iwe mbwai. Ni kazi ya mtu mmoja tu anaeamua kujito mhanga. Hapo hata atembee na battalion nzima atapatikana tu. Labda aamue kuishi dizain kama ya akina Osama na Mullah Omar.

Ndivyo alivyo uawa Karume. Tunahabarishwa kwamba muuaji alikuwa na kinyongo muda mrefu bwana mkubwa kumtesa baba yake na kumuua. Alipokuwa mkubwa akaamua kama mbwai na iwe mbwai.

Inashangaza sana RW ni nchi ya dini sana kwanini watu na viongozi wa dini hawakai pamoja kumwomba Mungu hiyo roho itoke iili nchi iwe na amani.
 
Mimi nimeenda Rwanda mara kadhaa. Kuna ukweli mwingi kwenye hii video. Mojawapo ya kitu serikali ya Rwanda walifanikiwa kudanganya ni kuonesha kwao mambo ni tambarare. Huko ni mkono wa Chuma tu. Na ukiacha Kigali, Rwanda hamna kitu.
Huo utambarale wa Rwanda ndo Magufuli usiku kucha na mchana kutwa anahangaika kuuleta TZ.
 
Mkuu usiji imanishe sana. Mi kwa ujumla nawaonea huruma Wa RW wote. Wamejikuta wamezaliwa na kuishi ktk nchi ambayo kuna jinamizi baya sana la ukabila kwa Hutu na Tusi wote hakuna afadhali.

Hata ukipitia comments humu utakuta Mtusi anajimwambafai sana na wengine wako upande kutetea upande wa pili wakati wengine wanasema Rais aliyepita Mhutu alitesa sana tu Wa Tusi.

Ninachotaka kusema kama kweli PK nae anaendekeza ukabila na anazidi kupanda chuki dhidi ya kabila nyingine basi anapanda mbegu mbaya bila kujijiua. Bora Mungu amsaidie aishi maisha marefu nae mchango wake kama ni chanya watu watamkumbuka.

Ila usidhani kila mapinduzi ni jeshi au sijui watu watokee msituni.

Hao watoto wa waliodhulumiwa kama kuna mmoja ataamua kama iwe mbwai na iwe mbwai. Ni kazi ya mtu mmoja tu anaeamua kujito mhanga. Hapo hata atembee na battalion nzima atapatikana tu. Labda aamue kuishi dizain kama ya akina Osama na Mullah Omar.

Ndivyo alivyo uawa Karume. Tunahabarishwa kwamba muuaji alikuwa na kinyongo muda mrefu bwana mkubwa kumtesa baba yake na kumuua. Alipokuwa mkubwa akaamua kama mbwai na iwe mbwai.

Inashangaza sana RW ni nchi ya dini sana kwanini watu na viongozi wa dini hawakai pamoja kumwomba Mungu hiyo roho itoke iili nchi iwe na amani.
Wewe ni member wa ajab humu JF, ni Wewe pekee umeamua kuwa neutral, wengi humu utafikiri ni wanyarwanda. Post nyingi lazima wa_side. Bravo
 
Nimefuatilia instagram ya Paul Kagame, post ya mwisho ilikuwa siku nne zilizopita. Kawaida anapost kila siku au kila baada ya siku mbili.
 
Halafu hako kajamaa (ka'kagame) huwa kanapenda kuji portray kama mtu mwenye akili nyingi hapa Afrika!

He thinks he is genius or another version of Gadafi sent to rescue Rwanda from the enemies that are actually known to himself alone!

Namuona tu anatoa lectures huko kwenye mataifa na kujionesha kwamba yeye ni mwanamikakati anayejua Afrika inataka nini!

He is a delusional fool.

He is not even a fool (literally).

He is a psycho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli sasa JamiiForums imekuwa kimbilio la wengi wanyonge kuweza kupata nafasi kuelezea kichoendelea nchini mwao, iwe Kenya, Omani, Zanzibar, Canada, Australia au Tanganyika.

Hakika JamiiForums ni fahari yetu wote waongea kiSwahili duniani pote.
Magufuli want it closed!
 
Nimefuatilia instagram ya Paul Kagame, post ya mwisho ilikuwa siku nne zilizopita. Kawaida anapost kila siku au kila baada ya siku mbili.
KAGAME alikwisha tangulia mbele ya haki
 
Attachments

  • VID-20200421-WA0083.mp4
    2.9 MB
  • VID-20200424-WA0017.mp4
    4.1 MB
  • VID-20200421-WA0089.mp4
    26.4 MB
Nimefuatilia instagram ya Paul Kagame, post ya mwisho ilikuwa siku nne zilizopita. Kawaida anapost kila siku au kila baada ya siku mbili.
Hii vipi
Screenshot_20200424-131702.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom