Current Situation In Rwanda!

Current Situation In Rwanda!

Mimi nimeenda Rwanda mara kadhaa. Kuna ukweli mwingi kwenye hii video. Mojawapo ya kitu serikali ya Rwanda walifanikiwa kudanganya ni kuonesha kwao mambo ni tambarare. Huko ni mkono wa Chuma tu. Na ukiacha Kigali, Rwanda hamna kitu.
 
Video haifunguki aise
Nenda kwenye setting then Set Google chrome as your default browser, then zikija link za muundo huu ukigusa tu itakuonesha google chrome na jf, ukigusa google chrome itafunguka bila shida.
Screenshot_20200315-100638.jpeg

Ikishajitokeza hivi hapo select always then bonyeza google chrome.



ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
 
Inasikitisha sana aisee, sikujuaga kwamba yule mwanamama aliyemchallenge Kagame previous election yupo jela
 
Back
Top Bottom