Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,390
- 5,976
You neutralize the FDLR, Rwanda lifts its defense measures. As for the M23, there is the Doha process between Kinshasa and the M23.
Kwa miaka kadhaa, inasemekana FDLR walishaingizwa kwenye jeshi la DRC. Na intelligensia ya Rwanda, inazo taarifa kamili na majina.
Rwanda inadai kwanza, FDLR ifutwe, ndo na Rwanda itatoa hatua zake ilizoweka kwa kujihami.
Hapa, ni kama bado mpira upo mikononi mwa serikali ya Rwanda. Mpaka Rwanda iidhinishe kuwa kweli FDLR imeshavunjwa, na serikali ya DRC haina tena viashilia vya kuiunga mkono.
Hapo hapo, inasemekana kuna zoezi la kurudisha wakimbizi wa DRC waliopo kambini Rwanda, makwao, na kuwahakikishia usalama wao. Jambo ambalo linaipa M23 uhalali wa kukaa na kuzilinda Kivu zote mbili. FDLR hata ikiwepo, kwa sasa haiwezi kuingia Rwanda, kwa sababu Kivu zimeshakuwa kama ukuta kati ya DRC yenyewe na Rwanda.
Speaking at the signing event, Secretary Rubio said it was not easy to reach the agreement and noted that there is still work to be done in terms of implementation.
Kauli hii ya huyu bwana, ni kama na yeye hajasema lini makubaliano hayo yatatekelezwa, baada ya kusema kwamba njia bado ndefu kuhakikisha yanatekelezwa.
Je, baada ya kutia saini na kutekelezwa, kwa muda usiojulikana, hapo katikati ni nani mnufaika? Maada hapa ni deal la Rwanda, Marekani na DRC.
Isiwe DRC imejikaanga kwa mafuta yake yenyewe.
Trump nae :
Democratic Republic of the Congo (RDC) and Rwanda on Friday, June 27, 2025, President Donald Trump confirmed that the United States has obtained a significant share of Congo’s mining rights as part of the idea.