zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 23,232
- 37,613
Mkuu shida ya hizi takwimu zinaangalia documents tu sio uhalisia mfano kagame akikuona tishio na akakuundia kesi maadam ulifikishwa mahakamani na ukahumukumiwa kwa kesi ya kubumba wao wanahesabu ni uhuru wa mahakama. Ila akikufunga bila mashitaka ndio watapiga keleleMbona tunoana ripoti za Transparency Int. kuwa Rwanda ni nchi ambayo inaongoza kwa kutokuwa na matumizi mbaya ya madaraka (corruption) ikiwa imezizidi nchi zote za Afrika Mashariki na Kati hadi baadhi ya nchi za Ulaya?
Hii inamaanisha nini? Inawezekana kiongozi mkuu akawa corrupt (ana abuse power) halafu huko kwingine kukawa vizuri?
Hata ufisadi wao as long as wanaoma CAG anakagua mahesabu kila mwaka na anatoa hati safi (hata kma kabumba) wao wanahesabu ni nchi isiyo na rushwa.
Hizi international bodies huwa zinaangalia tu takwimu bila kufuatilia takwimu zimetoka wapi yaani methodology ndio maana hata ukisema uchaguzi sio huru na haki maadam watu waligombea na kura zilipigwa na matokeo yakatoka wao wanadai ni demokrasia.
Rejea AU na EU kuhusu uchaguzi wa Kenya, walidai ni huru na haki sababu ya takwimu ila uhalisia ulikua umekiuka sheria ndio maana ukafutwa.
Ni changamoto sana