Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,424
Ataliwa supuMpuuzi tu huyu jamaa, arudi Rwanda ajenge nchi aache ubuyuyu.
Ataliwa supuMpuuzi tu huyu jamaa, arudi Rwanda ajenge nchi aache ubuyuyu.
Anamiliki jela ya chinjachinja inaitwa Gitarama prison inaitwa jehanam of Africa Google uone
mchambawima1 YUPO wapi?Mpuuzi tu huyu jamaa, arudi Rwanda ajenge nchi aache ubuyuyu.
Ujui ugomvi wa pk Na M7.Uko hivi pk anamforce M7 awafilisi matajiri wa kinyarwanda waishio Ug eti wanawasapot wanyarwanda kudai haki zao M7 amemgomea kwamba though awajafanya any crime UG hawezi washughulikia so pk kaweka kisasi Na M7 hadi akafunga mipaka,ukivuka tu risasi.Kagame kaituliza Rwanda na anastahili pongezi
Mzee Museveni aache kuingilia mambo ya ndani ya nchi jirani.
Tukamuangalie kule uenda yupo Gitarama prison ak jehanamu of Africa
Video haifunguki aise
Inasikitisha sana aisee, sikujuaga kwamba yule mwanamama aliyemchallenge Kagame previous election yupo jela
Wanauwa balaaMwenye kuhitaji msaada huanza na kujisaidia mwenyewe huku akingojea huo msaada tarajiwa. Je wenyewe mmeanza kufanya nini kujisaidia?
ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ![]()
What is the future of Rwanda when Kagame expires
Jr![]()
Siyo lazima Rwanda tu,popote alipo duniani anaweza kufanya loloteHuyo Jamaa Kama yuko Rwanda pk ni lzm amle supu hawezi muacha
Mkuu,labda umechelewa kujua, hapa bongo tuna gloves,mikono ipo chigali.
Yah,unaweza kumtuliza mbwa wako kwa kumkata kichwa na ukajisifu?Kagame kaituliza Rwanda na anastahili pongezi
Mzee Museveni aache kuingilia mambo ya ndani ya nchi jirani.
Akili yako na PK ni sawa hamtaki ukweli ile kitu HIMA Empire aliyesema Mch Mtikila inatimiaMpuuzi tu huyu jamaa, arudi Rwanda ajenge nchi aache ubuyuyu.
"Rais Wangu Dkt. J.P.Magufuli 2015–2025" "Upinzani ulikufa 2015" "CCM inapendwa kwa 100%"
inafunguka mkuu, cheki device unayotumia na bandoVideo haifunguki aise