moj6
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 3,354
- 5,019
Mods ni wajinga sana au Wana interest na kagame
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliweka uzi humu ukanyofolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliweka uzi humu ukanyofolewa
Kumbe jakaya alikuwa poa Sana,hata wakimtukana yeye Hana shida,Dah! Hii Taarifa Imenipa Simanzi, Majonzi Na Huzuni! Nimeiwasilisha Kama Nilivyoombwa Na Msimuliaji!
View attachment 1388803
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza na kalegeyaDiane rwigara, kizito mihigo, kakere na nyamwasa ni wahutu?? Btw hii video ni ya mtutsi pia ssa kivp ombi lako ni wahutu wanyooshwe ila PK ananyoosha watutsi??
Tusaidie hapo