lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,484
Hujamfafanulia vizuri,Brigadier - 1
Major General - 2
Lieutenant General - 3
General - 4
Mkuu JokaKuu, thanks for tagging me. Yote uliyosema ni kweli.Nyani Ngabu,
..nadhani uko sahihi.
..lakini kupata uhakika zaidi tuwaite Kichuguu, Echolima, Pascal Mayalla.
..Ninavyoelewa mimi kwa, JWTZ, askari mwenye cheo cha juu kabisa, au mkuu wa majeshi, huwa na rank ya Jenerali / 4-star-general.
..Utaratibu wa Cdf kuwa 4-star-general ulianza miaka ya mwisho ya Mwalimu Nyerere, na mwanzoni mwa utawala wa Ali Hassan Mwinyi.
..wakati jeshi la wananchi limeundwa, mkuu wa majeshi wa kwanza alikuwa na cheo cha Brigadier au 1-star-General.
..baadae nadhani kutokana na jeshi kuwa kubwa zaidi mkuu wa majeshi akawa na cheo cha Major General au 2-star general.
..Utaratibu huo uliendelea mpaka wakati wa vita vya kagera, ambapo mkuu wa majeshi akawa na rank ya Lieutenant General au 3-star general.
..Wakati Mwalimu Nyerere anaondoka madarakani, alitoa nishani kwa maafisa mbalimbali wa vyombo vya ulinzi na usalama, na akawavalisha rank za 4-star-General, Abdalah Twalipo, na David Musuguri, in that order. Lakini Abdalah Twalipo alikuwa hayuko tena jeshini, Musuguri ndio alikuwa mkuu wa majeshi.
..Baada ya General Musuguri kustaafu, wakuu wote wa majeshi waliomfuatia wamekuwa na rank ya 4-star-General.
NB:
..Tumainieli Kiwelu ndiye 4-star-General pekee hapa Tanzania ambaye hajashika nafasi ya mkuu wa majeshi / cdf. Vilevile Tumainieli Kiwelu ndiye Mtanzania pekee ambaye amewahi kuwa mnadhimu mkuu / CoS chini ya Maraisi, na wakuu wa majeshi, wawili tofauti. Mara ya kwanza ilikuwa chini ya Rais Nyerere na CDF Abdalah Twalipo; mara ya pili ilikuwa chini ya Rais Mwinyi na CDF Ernest Mwita Kiaro.
..Pia Raisi Mkapa alimpandisha cheo Mkuu wa kwanza wa Jwtz, Major General Mirisho Hagai Sarakikya kuwa 4-star-general miaka kadhaa baada ya Sarakikya kuwa ameshaondoka jeshini.
Naunga mkono hoja, maslahi yanafanana with tofauti ndogoLakini Nguruvi....mara nyingi four star generals huwa ni wenye umri mkubwa. Wengi huwa wamebakiza muda mchache sana kabla ya kustaafu.
Kama waliopo kwenye active duty wote wanakaribia kustaafu, kuna ubaya gani wa kumchagua luteni jenerali aliye na umri utaomuwezesha kuhudumu kwa muda wa kutosha na kumpandisha cheo kuwa four star general?
Halafu, nadhani hata maslahi yao huwa hayatofautiani sana.
Yaani majenerali wazima wamuonee gere luteni jenerali aliyepandishwa cheo na kuwa jenerali na mkuu wa majeshi huku wao wakiwa wamebakiza muda mchache kabla ya kustaafu?
Mkuu wa majeshi ana maslahi gani ya kipekee yaliyo tofauti sana na ya majenerali wenzake?
Sahihi kabisaZipo lakini kwa hapa zinaongozwa na 2 stars, kwa sababu bado ni ndogo. Airforce yenye ndege 15 unaipa 4 star general itakuwa ni matumizi mabaya ya cheo.
Interesting insight about the politics of our military...Mkuu JokaKuu, thanks for tagging me. Yote uliyosema ni kweli.
Kwenye jeshi kuna makundi makuu mawili ya askari, NCOs (non commissioned officer) na COs (Commissioned Officers). Kamisheni inatolewa na CinC.
Kwenye NCOs kuna
Junior NCOs Private, Coplo Usu na Coplo
Senior NCOs Sergeant, Staff Surgent na Sir Major.
Kwenye COs kuna makundi 4
Junior Officers, 2nd Lieutenant, Lieutenant na Captain.
Seniors Officers ni Major, Lieutenant Colonel and Colonel
Cheo cha mwisho kwa mwanajeshi kupanda kwa logical progression ni Colonel.
Staff Officers, hawa ndio majenerali, Brigadier, Major General, Lieutenant General na General.
Vyao hivi vya staff officers havipandi kwa merits only but by appointment ya CinC, na mfano mzuri ni uteuzi wa CDF aliyepo.
Alipoingia tuu umri wa kustaafu wa CDF aliyepo uliusha pita, hivyo alipoangalia list ya wa chini yake hakupendezewa. Akamuongezea miaka 2 CDF aliyepo, na kumelevate the chosen one fasta fasta from Colonel to Brigadier, within no time Major General then Lieutenant General ndipo akamruhusu CDF kustaafu.
Hii hufanyika sana Jeshini na ilianzishwa na Nyerere, Mtanzania wa kwanza kuwa na highest rank wa jeshi letu la Tanzania huru ni Colonel Kashmir na Mirisho Sarakiya one of them should have been CDF, Mwalimu was uncomfortable nao, wakaondolewa jeshini kupewa post uraia.
This happened again baada ya vita vya Kagera, Baada ya Twalipo chini kulikuwa na kina Mayunga, Cuthless, Wolden, Sayore ili kumuinua wachini, wale deserving wanaondolewa jeshini unamuinua umtakaye.
Chini ya General Mwamunyange, sijui waliokuwa na seniority ya kumpokea ni kina nani, na walipelekwa wapi, lakini CDF aliyepo ili ibuka like a mushroom, na kwa tetesi za mtaani, he is the only source of political stability and the tranquillity iliyeendelea hadi Samia kuingia.
Hivyo whoever picked this man, did the right thing.
P
Na hii ni hoja muhimu sana. Kama sikosei alikuwa jenerali baada ya kupata teuzi za nje au aliondolewa baadayeMjeda pekee aliyekuwa Jenerali bila kuwa CDF ni Tumainieli Kiwelu
Kwenye majeshi naomba nikuongezeemkuu usichanganyikiwe.
kuna jeshi la ulinzi la wananchi(jwtz)anga,ardhi,maji.
kuna jeshi la kujenga taifa(jkt)
kuna jeshi la polisi tz(pt)
kuna jeshi la magereza(tp)
tunapotaja majeshi duniani kwa maana yake kwa ujumla basi tanzania tutataja jwtz(tpdf)na si mengine niliyoorodhesha hapo.lakini katiba yetu imeyaongeza hayo kwa makusudi ile ile ya angalau kujazia nyama kidogo just icase kimehappen,(majeshi ya akiba).
hayo si komandi wala vikosi vya jwtz ila ni akiba ya jwtz,isipokuwa jkt ambayo kwa sasa ni sehemu ya jwtz.
Najua umezungumzia mimi kuyaangalia haya mambo kupitia muktadha wa Marekani.Ukiwa na CoS 4 star halafu CDF 4 star hapo je?
Mumeanza figisu, najua Mabeyo mnamuogopa, sasa mnataka kumuondoa ugeneral, hakuna general atatoka zanzibar acheni ujinga nyie wazee, mnazeeka vibaya... General atabaki huyo mpaka astaafu, kuna chuma kinaandaliwa kiko urusi kinakuja cha motoView attachment 1754602
Mimi si mjeda. Sijui mengi kuhusu ujeda. Sijui mengi kuhusu mengi.
Ni mbeba maboksi tu. Wengine husema nimeishia darasa la saba. Wengine hudai nimeishia kidato cha nne.
Hivyo, sina mengi niyajuayo. Ila, ninao uungwana wa kukubali nisiyoyajua.
Na dawa ya kuyajua usiyoyajua ni kujifunza.
Kujifunza kuko kwa namna nyingi. Moja ya hizo namna ni kuuliza.
Leo nauliza hivi: Hivi kwa Tanzania huwa tuna jenerali mmoja tu kwa wakati mmoja aliye jenerali kamili, yaani yule mwenye nyota 4?
Kama sijakosea, mkuu wa majeshi ndo huwa jenerali kamili mwenye nyota 4 tu kwa wakati mmoja. Jenerali huyo akistaafu ndo mwingine [labda luteni jenerali] anapandishwa cheo na kuwa jenerali kamili halafu ndo anakuwa mkuu wa majeshi.
Kwa nini iko hivyo? Tumeiga sehemu labda?
Najua India kwa mfano, kuna four star generals zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja.
Marekani currently wana four star generals 45, kama sijakosea.
Kwa mnaojua, kwa heshima na taadhima zote, naomba mnifute huu ujinga nilionao.
Shukran jazilan [emoji120].
Pasko, polisi ipo chini ya JWTZ?Kwenye majeshi naomba nikuongezee
Kuna Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) or TPDF
Chini yake kuna
Jeshi la Ardhini- Infantry
Jeshi la Anga - Airforce
Jeshi la Majini- Navy
Kuna Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
Kuna Jeshi la Polisi Tanzaniab(PT)
Kuna Jeshi la Magereza - Prisons
Kuna Jeshi la Uhamiaji- Immigration
Kuna Jeshi la Zimamoto- Fire Brigade
Kuna Jeshi la Usalama- TISS
Kuna Majeshi Usu mengi, Para military
Mgambo, Wanyamapori, JKU, KMKM, Vikosi vya
SMZ etc
P
What??Mumeanza figisu, najua Mabeyo mnamuogopa, sasa mnataka kumuondoa ugeneral, hakuna general atatoka zanzibar acheni ujinga nyie wazee, mnazeeka vibaya... General atabaki huyo mpaka astaafu, kuna chuma kinaandaliwa kiko urusi kinakuja cha moto
Yes kwa mujibu wa tetesi za mitaani. Ni kweli Wasukuma wa Chapa ng'ombe tuu ndio washamba ila Wasukuma wenye exposure, wako vizuri, na kiukweli ndilo kabila linaloongoza kwa kuwa na watu poa sana. Hata haya mambo ya Jeshini si mmeona wenyewe...Interesting insight about the politics of our military...
Yaani Msukuma na mkabila Mabeyo ndo chanzo cha utulivu tulionao...?
Nilidhani Wasukuma ni washamba na wasiojua lolote 🤔
No polisi haiko chini ya JWTZ, bali JWTZ ndio jeshi kuu, CDF ndio top wao, majeshi mengine yote yanakuja chini yakePasko, polisi ipo chini ya JWTZ?
Kivipi? Waziri wa ulinzi ndo waziri wa mambo ya ndani?
CDF anaweza kum discipline IGP?
Kumbe nnje ya "usukule" wa siasa huwa una akili nzuri!!Naanzia kwenye nyota
Nina amini una akili, na jibu utakuwa umelipata
- Luteni usu(nyota moja)
- Luteni (nyota mbili)
- Captain (nyota tatu)
- Major (bibi na bwana)
- Luteni Kanali (bibi na bwana na nyota moja)
- Kanali (bibi na bwana na nyota mbili)
- Brigedia jenerali (bibi na bwana, nyota moja na mkasi)
- Major jenerali (bibi na bwana, nyota mbili na mkasi)
- Luteni Jenerali (bibi na bwana, nyota tatu na mkasi)
- mkuu ww majeshi (bibi na bwana, nyota nne na mkasi)
Nauliza hivi brigedia ana nyota ngapi
Field Marshal ana nyota 5?!!?? Kwa nini rank hito Tanzania hatuna?!Brigadier - 1
Major General - 2
Lieutenant General - 3
General - 4
Hakuna figisu yoyote ya kumuondoa Mabeyo, cheo cha CDF kina security of tenure ya vipindi viwili vya miaka mitano mitano kama alivyo Gavana wa BOT, CAG, etc, rais yoyote akija hawezi kuwaondoa na kuleta watu wake.Mumeanza figisu, najua Mabeyo mnamuogopa, sasa mnataka kumuondoa ugeneral, hakuna general atatoka zanzibar acheni ujinga nyie wazee, mnazeeka vibaya... General atabaki huyo mpaka astaafu, kuna chuma kinaandaliwa kiko urusi kinakuja cha moto
Mkuu JokaKuu, thanks for tagging me. Yote uliyosema ni kweli.
Kwenye jeshi kuna makundi makuu mawili ya askari, NCOs (non commissioned officer) na COs (Commissioned Officers). Kamisheni inatolewa na CinC.
Kwenye NCOs kuna
Junior NCOs Private, Coplo Usu na Coplo
Senior NCOs Sergeant, Staff Surgent na Sir Major.
Kwenye COs kuna makundi 4
Junior Officers, 2nd Lieutenant, Lieutenant na Captain.
Seniors Officers ni Major, Lieutenant Colonel and Colonel
Cheo cha mwisho kwa mwanajeshi kupanda kwa logical progression ni Colonel.
Staff Officers, hawa ndio majenerali, Brigadier, Major General, Lieutenant General na General.
Vyao hivi vya staff officers havipandi kwa merits only but by appointment ya CinC, na mfano mzuri ni uteuzi wa CDF aliyepo.
Alipoingia tuu umri wa kustaafu wa CDF aliyepo uliusha pita, hivyo alipoangalia list ya wa chini yake hakupendezewa. Akamuongezea miaka 2 CDF aliyepo, na kumelevate the chosen one fasta fasta from Colonel to Brigadier, within no time Major General then Lieutenant General ndipo akamruhusu CDF kustaafu.
Hii hufanyika sana Jeshini na ilianzishwa na Nyerere, Mtanzania wa kwanza kuwa na highest rank wa jeshi letu la Tanzania huru ni Colonel Kashmir na Mirisho Sarakiya one of them should have been CDF, Mwalimu was uncomfortable nao, wakaondolewa jeshini kupewa post uraia.
This happened again baada ya vita vya Kagera, Baada ya Twalipo chini kulikuwa na kina Mayunga, Cuthless, Wolden, Sayore ili kumuinua wachini, wale deserving wanaondolewa jeshini unamuinua umtakaye.
Chini ya General Mwamunyange, sijui waliokuwa na seniority ya kumpokea ni kina nani, na walipelekwa wapi, lakini CDF aliyepo ili ibuka like a mushroom, na kwa tetesi za mtaani, he is the only source of political stability and the tranquillity iliyeendelea hadi Samia kuingia.
Hivyo whoever picked this man, did the right thing.
P
Hao Joint of Chiefs of Staff huko US ni habari nyingine. Namkumbuka Collon Powel kama miongoni mwa Black American kua mkuu wa JC-US Army!
Ufafanuzi mzuri.Nyani Ngabu,