Current four star Generals in Tanzania

Mkuu nashukuru umejitahd kufafanua vzr kwa kweli, lkn hapo kwenye position ya neno Mstaafu niko sahihi kbs, hizo picha ulizoweka ni sehemu ya makosa ambayo wengi duniani kote hukosea hivyo, ila wapo ambao huandika vzr kama nilivyoeleza, so bado nabaki kusimamia nlichoeleza awali kuwa ni sahihi kbs
 
Hata ufanye nini patabaki hivyo hivyo, na swala la kupandishwa cheo wala haliingiliani hapo, Mkuu wa Majeshi wa kwanza alikuwa na cheo cha Meja jenerali na alikuwa ameshastaafu, lakini zaidi ya miaka 10 baadae alipandishwa cheo na kuwa General Mirisho Sarakikya.
We unadhani ni kwanini Kuanzia Brigedia jenerali hadi cheo cha Jenerali wanaitwa ni majenerali??
 
haswaa, nadhan ndio mana akiingia tu madarakan huwa anamwondoa CoS aliyepo ili alete CDF wake (ila at that time anampa nafasi ya CoS ili asafishe macho kidogo,)........

..kwa kumbukumbu zangu Rais Mwinyi na Mkapa walikuwa na utaratibu tofauti.

..walikuwa wanateua Cdf na CoS kwa wakati mmoja.

..Nakumbuka Mwinyi alimkuta Cdf Musuguri na CoS Mwakalindile, waliokuwa wameteuliwa na Mwalimu Nyerere.

..Mzee Mwinyi akawamteua Maj.General.Ernest Mwita Kiaro kuwa Cdf, na Maj.General.Tumainieli Kiwelu kuwa CoS.

..Rais Mkapa naye alimteua Maj.General.Robert Mboma kuwa Cdf, na Major.General.Geofrey Sayore kuwa CoS.

..Pia George Marwa Waitara na Iddi Gahu waliteuliwa kwa wakati mmoja kuwa Cdf na CoS.

..Utaratibu wa mhusika kuteuliwa CoS halafu anakuwa promoted kuwa Cdf ni wa awamu za 4 na 5.
 
Chief uko vizuri sana!
 
hicho unachokisema sasa ndio nnachokisema mimi, CDF wa kwanza alistaafu utumishi akiwa Maj. Gen kweli kbs na baaadae akaja kupandishwa kuwa General kwasababu kile cheo chake cha kijeshi hakikustaafu na hakijafa hadi leo, alistaaf yeye kama mtu nielewe ndugu, so wkt hajapandishwa bado na while alishastaafu kiutaratibu alkua akiitwa Major General Sarakikya (Rtd) then alipopandishwa akaitwa General Sarakikya (Rtd) ni hivyo kaka. asante lakn tumesaidiana kupanua mawazo zaidi. kudos
 
Nani huyo?

..kuna kisa kilimtokea JK alipokuwa Monduli Military Academy kama instructor.

..kisa hicho kililetwa hapa JF kwa namna ya kumchafua JK na former CoS Lt.Gen.Shimbo.

..Naamini ukweli wa kilichotokea umeelezewa ktk moja ya maandiko ya Bernard Membe ambaye ameeleza kuwa alitumwa toka Ikulu kuchunguza kilichotokea Monduli.

..Nilivyosoma maelezo ya Membe ni kwamba kulikuwa na tatizo kuhusu masuala ya chama / siasa vs masuala ya kijeshi.

..Enzi hizo Jwtz ilikuwa jumuiya ya CCM na Kamisaa wa siasa jeshini alikuwa ndiye afisa namba 3 kimamlaka baada ya Cdf, na CoS. Pia kila kikosi kilikuwa na kamisaa wa siasa.

..According to Bernard Membe kuna ripoti ya kwanza kuhusiana na suala la Monduli ambayo ilifika Ikulu lakini wakubwa hawakuridhika nayo. Hali hiyo ililazimisha Bernard Membe atumwe kwenda kuchunguza na kuandaa ripoti mpya ambayo ilikubalika na ilifanyiwa kazi.

..Kwa uelewa wangu ripoti ya Membe ilimtendea haki JK kuliko ripoti ya kwanza. Na nadhani urafiki wa JK na Membe ulitokana na tukio hilo.

NB:

..ukitafuta ktk archive ya JF utakutana na uzi unaoeleza kuwa JK aliondoka Monduli ktk mazingira ya kutatanisha.

..pia kuna maandiko ya Bernard Membe anaeleza alivyotumwa kuchunguza kilichotokea Monduli.
 
Labda hatuelewani, kwani umesikia wapi mtu akistafu cheo nacho kinastaafu? Kiufupi askari wa cheo chochote akistaafu anaondoka tu kwenye utumishi akiwa na cheo chake alichofikia na hata akihitajika kurudi atarudi na cheo alichostaafia, na kupandishwa cheo ni wakati wowote ule itakavyompendeza Amiri Jeshi Mkuu. Hiyo kuitwa Meja jenerali (mstaafu) wala sio tatizo kwa sababu haimzuii Amiri Jeshi kumpandisha cheo pale itakapompendeza.
 
Nimejitahidi kutafuta hata sijauona

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
 
nahisi kweli hatuelewani kaka kulingana na kila mmoja anavyofahamu. ngoja tukubaliane kutokukubaliana katika baadhi ya maeneo
 
Uko sahihi sana kinaanza cheo alafu jina na mwisho neno (mstaafu)

Emir
 
Kwani ni wapi walisema cheo kinastaafu? Anaestaafu ni mtu sio cheo.
Asante kwa kuuleta huu ushahidi hapa, maana tulibishana sana hapa na baadhi ya wadau, nashukuru hii kitu itasaidia sasa watu kuelewwa vyema
Uko sahihi sana kinaanza cheo alafu jina na mwisho neno (mstaafu)

Emir
View attachment 1792161
Wale mlikuwa mnabishana kuhusu protokali ya utambulisho jeshini someni hapa Emiir ferg Mr_Teacher
[emoji116][emoji116]View attachment 1792151
nahisi kweli hatuelewani kaka kulingana na kila mmoja anavyofahamu. ngoja tukubaliane kutokukubaliana katika baadhi ya maeneo
 

Fafanua vizuri kwa lugha inayoeleweka utaratibu wa kupanda cheo kutoka Senior Officer kwenda Staff Officer na Kutoka Staff Officer say Brigadier General kwenda Major General
 
Fafanua vizuri kwa lugha inayoeleweka utaratibu wa kupanda cheo kutoka Senior Officer kwenda Staff Officer na Kutoka Staff Officer say Brigadier General kwenda Major General
Sifa za kupanda vyeo vya juu ni kwa recomendations. Umeona wajeda wawili wameteuliwa mabalozi, hiyo ni kupisha njia, wajeda wawili kupandishwa vyeo, mmoja ndiye atakuja kuwa chief of staff na kumpokea CDF, wapili ndio atakuwa chief of staff, baada ya yule wa mwanzo kuwa CDF.

Na inawezekana Mama Samia alilisoma bandiko hili,
Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu?. Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?, hivyo sasa anafanya mambo kusawazisha!.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…