Current four star Generals in Tanzania

Current four star Generals in Tanzania

USA (the United States of America) ni nchi yenye muundo wa shirikisho wa nchi 52 (Federal), kila nchi ina gavana na senata wake ambapo jeshi la polisi linawajibika kwao kwa sheria walizojitungia. Jeshi pekee ndio linapokea amri kutoka kwa amiri jeshi mkuu ambaye ni Rais

Laiti kama Afrika nayo ingekuwa USA (the United States of Africa) hapo ndipo ingefaa wawepo hao majenerali wengi, lakini kwa Tanzania ambayo inaundwa na mikoa ambayo karibu kila kitu ni tegemezi kutoka serikali kuu kasoro kwa machache kupitia serikali za mitaa itawezekanaje uwe na majenerali labda kwa kanda nane na utawadhibiti vipi? Rejea kilichotokea Minnesota kwa Minneapolis lutoka kwa rai waliokasirika kuuwa George Floyd ulinganishe na uvamizi wa jeshi kwenye kituo fulani cha kuhesabia na kujumlisjia kura na kupora 'servers' ndio ujue athari za amri ni zipi.
Hoja yako ni ipi hasa?
Kwani hakuna nchi ambazo si shirikisho zenye Active Uniformed 4 Star General zaidi ya mmoja?
 
Kwa nini?

Mbona kwingine haiko hivyo?
Uongozi wa kijeshi huenda kwa ranks na kwamba mdogo kwa cheo hawezi kumuongoza ( command) mkubwa wake. Iwapo viongozi wa rank moja (Mf. Maj.gen)wanakuwa pamoja inaangaliwa aliyetangulia kwenye cheo ndiye hupewa heshima ya ukuu
 
Marekani kwenye majenerali 40 na kitu huwa wanaongozanaje?
 
Hoja yako ni ipi hasa?
Kwani hakuna nchi ambazo si shirikisho zenye Active Uniformed 4 Star General zaidi ya mmoja?
Hata huko Marekani idadi ya hao 4 Star General haiamuliwi na uwepo wa Federation bali ukubwa na division za jeshi.

Federation has nothing to do on the number of the 4 Star Generals
 
Kuna mtu hapo juu kadai huwezi kuwa na active four star generals kwa wakati mmoja kwa sababu eti italeta tatizo la ukosefu wa nidhamu!!

Huko Marekani jeshi lina ukosefu wa nidhamu kwa sababu majenerali wa nyota nne wapo 45??
Marekani cheo cha juu zaidi ni generali wa nyota tano
 
Hata huko Marekani idadi ya hao 4 Star General haiamuliwi na uwepo wa Federation bali ukubwa na division za jeshi.

Federation has nothing to do on the number of the 4 Star Generals
Exactly!
 
Marekani cheo cha juu zaidi ni generali wa nyota tano
Siyo kweli, 5-star general kilikuwapo zamani kikitolewa wakati wa vita tu; hakipo tena sasa hivi, cheo cha mwisho ni 4-star general ingawa wakati wa vita kinaweza kurudishwa.
 
Marekani cheo cha juu zaidi ni generali wa nyota tano
Huyo anaitwa General of the Army (GA)
Afisa Generali wa Nyota Tano.
Rank ambayo ni sawa na Fleet Admiral na General of the Air Forces
Cheo hiki kilianzishwa mwaka 1886 baada ya American Civil War ili kutofautisha Mkuu wa Majeshi (Commanding General of the US Army) ambaye alikuwa na nyota nne kutoka kwa maafisa wengine ambao pia wana nyota nne.

It's all about seniority.

Ni rank inayokuja kwa sababu ya nafasi yako jeshini.
Asante kwa kuleta hili.

Kwa mada iliyopo mezani ni wazi kuwa inawezekana kuwa Majenerali wa Nyota nne zaidi ya mmoja katika Jeshi.
Na mifano ipo mingi hata kwa majirani zetu.
 
Hata huko Marekani idadi ya hao 4 Star General haiamuliwi na uwepo wa Federation bali ukubwa na division za jeshi.

Federation has nothing to do on the number of the 4 Star Generals
Siyo kweli, 4-Start General kwa marekani hutolewa kwa merit siyo kwa sababu ya need. Sharti kubwa ni kuwa mtu ukiwa 3-star general, inabidi ufanye vizuri zaidi ndani ya miaka mitatu kumerit 4-stars, ukishindwa, basi unatakiwa ustaafu. Mifano ya walioshindwa kufikia 4-star ni pamoja na Lt General Ricard Sanchez kutokana na skendo za Iraki, Lt General Michael Flynn. Ukiwa 4-Star unaweza usiwe na division bali ukawa mmoja wa mabigwig wa pentagon kusubiri assignement. General David Patreaus alikuwa Pentagon tu hadi alipokabidhiwa command ya Iraqi
 
Issue ni utolewaji wa cheo au uwepo wa idadi ya cheo husika?
 
Siyo kweli, 5-star general kilikuwapo zamani kikitolewa wakati wa vita tu; hakipo tena sasa hivi, cheo cha mwisho ni 4-star general ingawa wakati wa vita kinaweza kurudishwa.
Siyo kweli, cheo bado kipo ila hakijatolewa kwa mtu since 1981.

The rank of "General of the Army" has had two incarnations. The rank was introduced in 1866, the year after the American Civil War. It was reserved for the Commanding General of the United States Army, was a four-star rank, and was held by three different individuals from 1866 to 1888. The rank was revived as the modern five-star rank during World War II, and may be awarded to more than one serving officer at a time. It was held by five different individuals from 1944 to 1981.
 
Vyeo hutolewa kwa merit, ila kuna mechanism ya kucontrol visitolewe hovyo hovyo.
Uwongo, vyeo huamuliwa kwa nafasi ya mtu. Kuna nafasi ukichaguliwa lazima uwe na cheo fulani ili uweze kuitumikia hiyo nafasi.

Four-star grades go hand-in-hand with the positions of office they are linked to, so these ranks are temporary. Officers may only achieve four-star grade if they are appointed to positions of office that require and/or allow the officer to hold such a rank. Their rank expires with the expiration of their term of office, which is usually set by statute. Four-star officers are nominated for appointment by the president from any eligible officers holding a one-star grade or above, who also meets the other requirements for the position, under the advice and/or suggestion of their respective executive department secretary, service secretary, and if applicable the joint chiefs. The nominee must be confirmed via majority by the Senate before the appointee can take office and thus assume the rank.
 
mkuu usichanganyikiwe.

kuna jeshi la ulinzi la wananchi(jwtz)anga,ardhi,maji.
kuna jeshi la kujenga taifa(jkt)
kuna jeshi la polisi tz(pt)
kuna jeshi la magereza(tp)

tunapotaja majeshi duniani kwa maana yake kwa ujumla basi tanzania tutataja jwtz(tpdf)na si mengine niliyoorodhesha hapo.lakini katiba yetu imeyaongeza hayo kwa makusudi ile ile ya angalau kujazia nyama kidogo just icase kimehappen,(majeshi ya akiba).
hayo si komandi wala vikosi vya jwtz ila ni akiba ya jwtz,isipokuwa jkt ambayo kwa sasa ni sehemu ya jwtz.
Ikumbukwe jkt ni ipo ndani ya tpdf
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom