Current four star Generals in Tanzania

Mkuu nathamini mchango wako lakini kwa kulinda heshima yako ningeomba ufute hii post!
Cc: Mkomavu
 
Adante kunielimisha, kumbe jeshi la aridhini sio infantry, ni land force, katika kusaidiana kuelimishana, infantry ni jeshi la wapi?.
P
Labda nikusahihishe zaidi, kikundi kidogo kabisa ni group/squad au team, ambapo kikundi kinachofuatia ni sec, ikifuatiwa na patuni. Juu ya patuni kuna kombania, ikifuatiwa na kikosi, kikosi kinafuatiwa na regiment ndio inafuatia brigade....
 
Nikuulize kwa nini wastaafu lt colonel huku mitaani wanapenda kujiita colonel hawaitaki hii lt.

Na Mabrigenia generali na hujita majenerali hawataki kuanza na brigedia.
Majibu yapo nayafahamu yote rasmi na yasiyo rasmi naomba ujibu kwanza lile swali [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Well, vipi zile branches za military?

Kwa nini zisiongozwe na four star generals?

Jeshi letu halina special forces?

Airforce? Navy? Army?
Idadi ya wanajeshi hairuhusu kua na 4 stars zaidi ya mmoja
 
Majibu yapo nayafahamu yote rasmi na yasiyo rasmi naomba ujibu kwanza lile swali [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Ukijua jibu la lt colonel kukomalia kujiita colonel jua tayari nilimsha kujibu. Pia jifunze kitu kwenye ubebaji na usindikizaji wa jeneza la mwenda zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…