Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,573
KwikwikwiMzee naona uko "busy" kuchochea...angalia moto usikuzidi nguvu huo.
KwikwikwiMzee naona uko "busy" kuchochea...angalia moto usikuzidi nguvu huo.
TAHADHARI
Huyu ni mwana CCM anataka kutumia mbinu za kizamani kuwachonganisha UKAWA. Mpuuezeni. CCM ina vijana wengi wasio na kazi wanaolipwa kwa kubuni habari za kizushi ili kuchonganisha vyama vya upinzani.
naona mmemkumbuka mme wenu ccm
CUF acheni ubabaishaji...Mnarihidhisha U CCM-B wenu sasa. Kwani wakati kura zinapigwa ndani ya UKAWA akachaguliwa Dr. Slaa hamkujua mlihitaji ridhaa ya watu wenu kushiriki kupiga kura? Je, angekua amechaguliwa Prof. Lipumba bado mngekataa na kusema haturidhii Prof. apeperushe bendera ya UKAWA hadi wana CUF watoe ridhaa????
All what CUF is planning to do is to play "Religion Card". Mmeona kwamba CCM wamesimamisha mgombea mkristo na UKAWA wameweka Mkristo, sasa mkaona mjitoe ili mgombea wenu Muislam apewe kura za huruma na waislam... Hiyo strategy ni mbaya mbaya mno ndugu zangu. Mnajua hatahivyo kura atakazopewa prof Lipumba hazitatosha kumpa uraisi lkn mnadhani kura zitakua nyingi kiaasi cha kuwafanya mpate zuruku kubwa kuliko mnayoipokea sasa. Nakuhakikishie kwa mtindo huo hatutapata Katiba ya wananchi ambayo watanzania wanaisubiria toka kwenu. Na CUF hamtaaminika tena na vyama vingine isipokua CCM tu..
Hatutafika kwa lugha zenu za kibaguzi. But nawahakikishia kwamba kikao kikiamua ndipo mtaamini sisi ndio waasisi wa ukawa. hatukurupuki bali tunajipanga kuona maslahi na hasara ambayo tutaipata kupitia maamuzi yetu.
Kimsingi wote tulifanya makosa kuamua bila mkataba wa kisheria ambao utatuwezesha kuwabana wasaliti hapo baadae wakitugeuka. Kama mmeona chadema wamesimamisha mgombea vunjo maana yake nini?
Nani atakubali kupewa wabunge wachache katika majimbo tata wakati nyie mkigombania majimbo ambayo dhahiri mwajua cuf tupo juu?
Kwanini kila hoja mnataka mshinde nyie tu? kama mnaona nyie ndio kila kitu why mlikubali ombi la kuungana?
unajichekea tu kama shoga,ivi mkuu Law uliyosoma inakusaidia nini mbona michango yako ya kipunguani hivi.Kwikwikwi
Prof.Lipumba ni msomi wa elimu dunia.... Dr.Slaa hakubaliki zanzibar kasomea elimu ya upande mmoja ambao ni udini kumsimamisha.
unajichekea tu kama shoga,ivi mkuu Law uliyosoma inakusaidia nini mbona michango yako ya kipunguani hivi.
Ndugu wanajamvi, nimehuzunishwa sana na jinsi ambavyo CUF na viongozi wetu wamekuwa wakibezwa na kuzodolewa na wafuasi na washabiki wenzetu wa UKAWA.
Kimsingi suala la sisi kuamua kukutana na kuweka maamuzi ya kichama ndio msingi imara wa kidemocrasia. Chama sio mtu mmoja kama ambavyo mnapenda tuamini. Prof lipumba hayupo juu ya sheria ya cuf. Tunaongozwa na katiba na maamuzi yetu tunaheshimu matakwa ya watu wetu.
Kwamsingi huu hakuna sababu ya wanachadema/nccr kutubeza. Kwenu wenzetu mmebahatika kwamba mkiamua kitu wafuasi wenu wanafuata tu hatakama mnawaburuza. huku kwetu hatuishi hivyo so naomba mtuheshimu.
Mnasema sisi ni wadini wabaguzi nk... kama nihivyo why mliungana na sisi hamkujua? ndio maana tunapata shaka uthabiti wa nia yenu katika muungano wetu... huenda ni kweli mnataka kupanda kupitia sisi then baadae mtugeuke...
Please tuacheni tufanye vikao vyetu kama katiba inavyotaka.
Nangu Mahwelu
Umechelewa kuamini kuwa Tanzania hakuna mpinzani! Lakini Chadema ni kikwazo kwenye UKAWA!
Sina tatizo na hilo ,kauli hiyo itatimia ambapo kundi la wana Ccm wakiona sasa siasa za kinafiki na unyanyasaji zimetosha nakuamia upinzani ila hili la mtu mmoja mmoja kutoka Ccm kwenda upinzani tutasubiri Sana kutimia kwa hiyo kauli
Hilo la Dr kugoma silijui nadhani lipumba atakua anajua vyema muulize yeye
Ndugu wanajamvi, nimehuzunishwa sana na jinsi ambavyo CUF na viongozi wetu wamekuwa wakibezwa na kuzodolewa na wafuasi na washabiki wenzetu wa UKAWA.
Kimsingi suala la sisi kuamua kukutana na kuweka maamuzi ya kichama ndio msingi imara wa kidemocrasia. Chama sio mtu mmoja kama ambavyo mnapenda tuamini. Prof lipumba hayupo juu ya sheria ya cuf. Tunaongozwa na katiba na maamuzi yetu tunaheshimu matakwa ya watu wetu.
Kwamsingi huu hakuna sababu ya wanachadema/nccr kutubeza. Kwenu wenzetu mmebahatika kwamba mkiamua kitu wafuasi wenu wanafuata tu hatakama mnawaburuza. huku kwetu hatuishi hivyo so naomba mtuheshimu.
Mnasema sisi ni wadini wabaguzi nk... kama nihivyo why mliungana na sisi hamkujua? ndio maana tunapata shaka uthabiti wa nia yenu katika muungano wetu... huenda ni kweli mnataka kupanda kupitia sisi then baadae mtugeuke...
Please tuacheni tufanye vikao vyetu kama katiba inavyotaka.
Nangu Mahwelu
Bora kusoma na ku like kama MimiKama huna uwezo wa kujenga hoja ni busara ukiwa msomaji tu itakusaidia sana!
Hakuna mwenye jimbo ndiyomaana tunaenda kwenye uchaguzi. Mkuu hujawahi kuona jimbo linahama toka chama kimoja kwenda kingine? hatuongelei 2010.