CUF hatutayumbishwa na nyodo zenu

CUF hatutayumbishwa na nyodo zenu

Acha urongo hakuna kura iliyopigwa mnafiki mkubwa wewe na katika vigezo vya kumpata mgombea wa ukawa kura hakuna.Na swala la kukaa vikao baraza kuu waliwaambia viongozi wanaokwenda katika vikao vya ukawa nendeni katika vikao mkimaliza leteni mrejesho unafikiri cuf wanakurupuka tu kama nyinyi.
Teh Teh...
 
Hatutafika kwa lugha zenu za kibaguzi. But nawahakikishia kwamba kikao kikiamua ndipo mtaamini sisi ndio waasisi wa ukawa. hatukurupuki bali tunajipanga kuona maslahi na hasara ambayo tutaipata kupitia maamuzi yetu.
Kimsingi wote tulifanya makosa kuamua bila mkataba wa kisheria ambao utatuwezesha kuwabana wasaliti hapo baadae wakitugeuka. Kama mmeona chadema wamesimamisha mgombea vunjo maana yake nini?

Kwani mkuu tatizo lipo kwa nani kaanzisha ukawa au mgawanyo wa madaraka ??? ,,,besides watanzania waliamini Ccm imepata mpinzani wa ukweli ila kwa yanayotekea sasa ukawa naanza kuamini ile kauli ya nyerere mpinzani wa ukweli atatoka Ccm
 
now you are showing your true colours udini, dk Slaa hakuchaguliwa kwa sababu ya iman yake bali jinsi anavyokubalika na wapiga kura(rejea matokeo ya kura za 2010)lkn nyingi kigezo ni dini wake,kumbe CCM Mwaka 2000 hawakukosea kuwaita nyie wadini
Teh Teh...
 
Ndugu wanajamvi, nimehuzunishwa sana na jinsi ambavyo CUF na viongozi wetu wamekuwa wakibezwa na kuzodolewa na wafuasi na washabiki wenzetu wa UKAWA.

Kimsingi suala la sisi kuamua kukutana na kuweka maamuzi ya kichama ndio msingi imara wa kidemocrasia. Chama sio mtu mmoja kama ambavyo mnapenda tuamini. Prof lipumba hayupo juu ya sheria ya cuf. Tunaongozwa na katiba na maamuzi yetu tunaheshimu matakwa ya watu wetu.

Kwamsingi huu hakuna sababu ya wanachadema/nccr kutubeza. Kwenu wenzetu mmebahatika kwamba mkiamua kitu wafuasi wenu wanafuata tu hatakama mnawaburuza. huku kwetu hatuishi hivyo so naomba mtuheshimu.

Mnasema sisi ni wadini wabaguzi nk... kama nihivyo why mliungana na sisi hamkujua? ndio maana tunapata shaka uthabiti wa nia yenu katika muungano wetu... huenda ni kweli mnataka kupanda kupitia sisi then baadae mtugeuke...

Please tuacheni tufanye vikao vyetu kama katiba inavyotaka.

Nangu Mahwelu

UKAWA bila CUF haiwezekani
 
Jaribu kujifunza historia kiongozi yeyote wa cuf hachukui maamuzi peke yake lazima alishirikishe barza kuu.Hata hiyo serikali ya mseto cuf ndo ilipendekeza na baraza kuu liliridhia.Cuf sio chama cha watu wawili kama nyinyi huko
Naona unawapa somo Bavicha..
 
Kwani mkuu tatizo lipo kwa nani kaanzisha ukawa au mgawanyo wa madaraka ??? ,,,besides watanzania waliamini Ccm imepata mpinzani wa ukweli ila kwa yanayotekea sasa ukawa naanza kuamini ile kauli ya nyerere mpinzani wa ukweli atatoka Ccm
hiyo kauli yako ya mpinzani wa kweli atatoka ccm inampa kiburi Dr.Slaa. anajihusisha uwepo wake ccm akatoka enzi hizo na upinzani wa kweli...

Watu wetu lazima waamue. tuliomba wagombea wasiwepo kwenye mchakato but dr.akagoma why?
 
Umechelewa kuamini kuwa Tanzania hakuna mpinzani! Lakini Chadema ni kikwazo kwenye UKAWA!
 
Wazo la UKAWA ni cuf hatakama wanatubeza. Kama mkifanikiwa kututukana tukashindwa kumbukeni bila sisi hakuna UKAWA.
Najua mtanikumbuka kwa hili.
 
Mnalazimisha kila penye mbunge tusigawe tena, kuna wabunge hawana mvuto tena. Mambo ya 2010 haya apply leo. siasa imebadilika kila chama kimejijenga hamtaki kukubali.

I am sure hata mbatia angetumia akili alitakiwa kujua kwamba huu udhalimu ndio unaowaondoa watu wake kwenda ACT. cuf hatutakubali tufikie hatua ambapo watu wetu watuhame bila sababu ya msingi.

mbunge gani wa chadema anaweza kushindwa na nyinyi cuf hata mkiungana na ccm?mkijitoa ukawa nyinyi ndio mtakuwa mmepoteza,you need cdm than they need you!!!!
 
Nani atakubali kupewa wabunge wachache katika majimbo tata wakati nyie mkigombania majimbo ambayo dhahiri mwajua cuf tupo juu?
Kwanini kila hoja mnataka mshinde nyie tu? kama mnaona nyie ndio kila kitu why mlikubali ombi la kuungana?
Mkuu hivi CUF ina majimbo mangapi tanzania bara?!!
 
hiyo kauli yako ya mpinzani wa kweli atatoka ccm inampa kiburi Dr.Slaa. anajihusisha uwepo wake ccm akatoka enzi hizo na upinzani wa kweli...

Watu wetu lazima waamue. tuliomba wagombea wasiwepo kwenye mchakato but dr.akagoma why?

Sina tatizo na hilo ,kauli hiyo itatimia ambapo kundi la wana Ccm wakiona sasa siasa za kinafiki na unyanyasaji zimetosha nakuamia upinzani ila hili la mtu mmoja mmoja kutoka Ccm kwenda upinzani tutasubiri Sana kutimia kwa hiyo kauli
Hilo la Dr kugoma silijui nadhani lipumba atakua anajua vyema muulize yeye
 
Mkuu hivi CUF ina majimbo mangapi tanzania bara?!!

Hakuna mwenye jimbo ndiyomaana tunaenda kwenye uchaguzi. Mkuu hujawahi kuona jimbo linahama toka chama kimoja kwenda kingine? hatuongelei 2010.
 
hiyo kauli yako ya mpinzani wa kweli atatoka ccm inampa kiburi Dr.Slaa. anajihusisha uwepo wake ccm akatoka enzi hizo na upinzani wa kweli...

Watu wetu lazima waamue. tuliomba wagombea wasiwepo kwenye mchakato but dr.akagoma why?

Siyo hoja hiyo,mbona hata maalim Seif na viongozi wengi tu wa CUF walikuwa CCM? Wewe hujengi Ndo maana naanza kuamini inawezekana wewe ni CCM,maana umeamua kushambulia CHADEMA na Slaa tu huna hoja ingine
 
wanaochangia humu si wana ukawa bali ni watanzania kwa ujumla wao - utakuwa umefanya kosa kubwa kuwahukumu chadema na nccr wakati huna uhakika wachangiaji wa humu ni kina nani!!

Hata hivyo ilikuwa hakuna haya ya kufikia huko ulipofika, na sidhani kama wewe ni mwanakafu kiongozi mwandamizi, sababu usingeandika utumbo huu.

kweli ilo ni limwanaccm linatusumbua akili
 
Ndugu wanajamvi, nimehuzunishwa sana na jinsi ambavyo CUF na viongozi wetu wamekuwa wakibezwa na kuzodolewa na wafuasi na washabiki wenzetu wa UKAWA.

Kimsingi suala la sisi kuamua kukutana na kuweka maamuzi ya kichama ndio msingi imara wa kidemocrasia. Chama sio mtu mmoja kama ambavyo mnapenda tuamini. Prof lipumba hayupo juu ya sheria ya cuf. Tunaongozwa na katiba na maamuzi yetu tunaheshimu matakwa ya watu wetu.

Kwamsingi huu hakuna sababu ya wanachadema/nccr kutubeza. Kwenu wenzetu mmebahatika kwamba mkiamua kitu wafuasi wenu wanafuata tu hatakama mnawaburuza. huku kwetu hatuishi hivyo so naomba mtuheshimu.

Mnasema sisi ni wadini wabaguzi nk... kama nihivyo why mliungana na sisi hamkujua? ndio maana tunapata shaka uthabiti wa nia yenu katika muungano wetu... huenda ni kweli mnataka kupanda kupitia sisi then baadae mtugeuke...

Please tuacheni tufanye vikao vyetu kama katiba inavyotaka.

Nangu Mahwelu

kwani muasisi na mfadhili wa CUF ni nani? mbona balaghashia nyingi? huenda masharti ya mwanzilishi na mfadhili ndo kikwazo hapa, vinginevyo ukawa uliundwa siku nyingi kwanini vikao sasa na visiwe juzi? ondokeeeeni basi tujue hampo ili waliobaki wapange mambo yao mapema. kama ninyi wenyewe mnasuwa suwa kwenye kufanya maamuzi hivi mkipewa nchi itakuwaje?
Kwan
 
Siyo hoja hiyo,mbona hata maalim Seif na viongozi wengi tu wa CUF walikuwa CCM? Wewe hujengi Ndo maana naanza kuamini inawezekana wewe ni CCM,maana umeamua kushambulia CHADEMA na Slaa tu huna hoja ingine

maana yakuwa na thread ni kutoa hoja moja sasa hoja nyingine si ningeweka thread nyingine.... nasema msitubeze na matusi yetu huko sio kujenga... mtuache tufanye vikao vyetu kwa maslahi ya chama na Tanzania
 
Back
Top Bottom