CUF hatutayumbishwa na nyodo zenu

CUF hatutayumbishwa na nyodo zenu

Tushindane kwa hoja sio matusi... serikali ya kitaifa zanzibar ipo kisheria na imeleta ufanisi na amani zanzibar. kama mnatutakia mema mlitakiwa mtusifie kuishi kwa amani.

Kuhusu kujitoa UKAWA siyo kweli. sisi ndio waasisi wa ukawa muulizeni dr.slaa atawaambia role ambayo cuf imeplay. Tatizo kubwa hapa ni kwamba mmeaminishwa kwamba bila slaa hatushindi huo ni woga na upumbavu maana mmepumbazwa na propaganda.

Mgombea wenu tayari ni Lipumba na hope kuna kupitishwa yeye au kutopitishwa sasa mnajadili nini,Lipumba alipatikanaje?
 
Cuf mnadeka sana ondokeni tatizo lenu ni undumilakuwili huku mnataka huku mnataka tabia za kileberali.
 
Kama unajua mgombea ni Dr Slaa na CDM hakuna tatizo iwrje useme tunahangaika kupata mgombea ilihali unajua CDM hakuna tatizo la mgombea?
Mbona mnajichanganya? Mbona kuna taarifa hapa kuwa mtachagua mgombea Agosti?
 
Ndugu zangu kuweni makini huyu aliyeweka hii posti hapa sio CUF. Ni mwanaccm. Na nyie mmeingia kichwakichwa. CCM wako busy kutumia huu upenyo kuvuruga mambo. Sasa tunasubiri tu udhabiti wa viongozi wa CUF katika hili.
 
Nani atakubali kupewa wabunge wachache katika majimbo tata wakati nyie mkigombania majimbo ambayo dhahiri mwajua cuf tupo juu?
Kwanini kila hoja mnataka mshinde nyie tu? kama mnaona nyie ndio kila kitu why mlikubali ombi la kuungana?
 
Tushindane kwa hoja sio matusi... serikali ya kitaifa zanzibar ipo kisheria na imeleta ufanisi na amani zanzibar. kama mnatutakia mema mlitakiwa mtusifie kuishi kwa amani.

Kuhusu kujitoa UKAWA siyo kweli. sisi ndio waasisi wa ukawa muulizeni dr.slaa atawaambia role ambayo cuf imeplay. Tatizo kubwa hapa ni kwamba mmeaminishwa kwamba bila slaa hatushindi huo ni woga na upumbavu maana mmepumbazwa na propaganda.

Kwa hiyo na wewe unataka tuamini bila Lipumba UKAWA haiwezi kusimamisha mgombea mwingine siyo?
 
Lipumba hakubaliki na ili tushinde lazima tuweke mtu anayekubalika..!!
 
Ndugu zangu kuweni makini huyu aliyeweka hii posti hapa sio CUF. Ni mwanaccm. Na nyie mmeingia kichwakichwa. CCM wako busy kutumia huu upenyo kuvuruga mambo. Sasa tunasubiri tu udhabiti wa viongozi wa CUF katika hili.
Huyo ni mwana CUF...
 
Nani atakubali kupewa wabunge wachache katika majimbo tata wakati nyie mkigombania majimbo ambayo dhahiri mwajua cuf tupo juu?
Kwanini kila hoja mnataka mshinde nyie tu? kama mnaona nyie ndio kila kitu why mlikubali ombi la kuungana?
Mkuu endelea kuwapa somo!
 
Kwa hiyo na wewe unataka tuamini bila Lipumba UKAWA haiwezi kusimamisha mgombea mwingine siyo?

Naamini chama ambacho kitasimamisha mgombe lazima kiwepo sehemu zote za muungano. fikiria mnataka mzee duni ahamie kwenu ndipo muweze kupata mgombea mwenza...
 
Back
Top Bottom