lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,201
- 28,086
Huyo ni mwana CUF...
Ulimkabidhi kadi???
Huyo ni mwana CUF...
Kwa hiyo anaye kubalika ni Slaa ndio maana mlimchagua yeye?Lipumba hakubaliki na ili tushinde lazima tuweke mtu anayekubalika..!!
Lipumba hakubaliki na ili tushinde lazima tuweke mtu anayekubalika..!!
Slaa amesomea elimu ya Agano la kale...Prof.Lipumba ni msomi wa elimu dunia.... Dr.Slaa hakubaliki zanzibar kasomea elimu ya upande mmoja ambao ni udini kumsimamisha.
Hakuna mwana CUF atakaye post upumbavu kama huu....... Wewe siyo mwana CUF, bali unataka kutumia mwamvuli wa CUF kuivuruga UKAWA..... Wewe ni mpumbavu
Prof.Lipumba ni msomi wa elimu dunia.... Dr.Slaa hakubaliki zanzibar kasomea elimu ya upande mmoja ambao ni udini kumsimamisha.
CUF acheni ubabaishaji...Mnarihidhisha U CCM-B wenu sasa. Kwani wakati kura zinapigwa ndani ya UKAWA akachaguliwa Dr. Slaa hamkujua mlihitaji ridhaa ya watu wenu kushiriki kupiga kura? Je, angekua amechaguliwa Prof. Lipumba bado mngekataa na kusema haturidhii Prof. apeperushe bendera ya UKAWA hadi wana CUF watoe ridhaa????
Kwa hiyo anaye kubalika ni Slaa ndio maana mlimchagua yeye?
Lakini mtayubishwa na nyodo za ccm watumwa nyinyi.Ndugu wanajamvi, nimehuzunishwa sana na jinsi ambavyo CUF na viongozi wetu wamekuwa wakibezwa na kuzodolewa na wafuasi na washabiki wenzetu wa UKAWA.
Kimsingi suala la sisi kuamua kukutana na kuweka maamuzi ya kichama ndio msingi imara wa kidemocrasia. Chama sio mtu mmoja kama ambavyo mnapenda tuamini. Prof lipumba hayupo juu ya sheria ya cuf. Tunaongozwa na katiba na maamuzi yetu tunaheshimu matakwa ya watu wetu.
Kwamsingi huu hakuna sababu ya wanachadema/nccr kutubeza. Kwenu wenzetu mmebahatika kwamba mkiamua kitu wafuasi wenu wanafuata tu hatakama mnawaburuza. huku kwetu hatuishi hivyo so naomba mtuheshimu.
Mnasema sisi ni wadini wabaguzi nk... kama nihivyo why mliungana na sisi hamkujua? ndio maana tunapata shaka uthabiti wa nia yenu katika muungano wetu... huenda ni kweli mnataka kupanda kupitia sisi then baadae mtugeuke...
Please tuacheni tufanye vikao vyetu kama katiba inavyotaka.
Nangu Mahwelu
UKAWA ni ya Irani?We kada wa magamba mbona ya UKAWA yanakuwasha sana mkuu..???
UKAWA ni ya Irani?
CUF acheni ubabaishaji...Mnarihidhisha U CCM-B wenu sasa. Kwani wakati kura zinapigwa ndani ya UKAWA akachaguliwa Dr. Slaa hamkujua mlihitaji ridhaa ya watu wenu kushiriki kupiga kura? Je, angekua amechaguliwa Prof. Lipumba bado mngekataa na kusema haturidhii Prof. apeperushe bendera ya UKAWA hadi wana CUF watoe ridhaa????
Chadema wamezoea kuburuzwa na Mbowe mkuu, hamna demokrasia mle ndani. Hongereni cuf kwa kujitambua!
Prof.Lipumba ni msomi wa elimu dunia.... Dr.Slaa hakubaliki zanzibar kasomea elimu ya upande mmoja ambao ni udini kumsimamisha.
Tushindane kwa hoja sio matusi... serikali ya kitaifa zanzibar ipo kisheria na imeleta ufanisi na amani zanzibar. kama mnatutakia mema mlitakiwa mtusifie kuishi kwa amani.
Kuhusu kujitoa UKAWA siyo kweli. sisi ndio waasisi wa ukawa muulizeni dr.slaa atawaambia role ambayo cuf imeplay. Tatizo kubwa hapa ni kwamba mmeaminishwa kwamba bila slaa hatushindi huo ni woga na upumbavu maana mmepumbazwa na propaganda.
Toka mwaka jana mlikuwa wapi? Mbona ile ya zanzibar ya kuungana na ccm hamkukaa kikao? Acha unafiki wewe, mmemkumbuka bwana wenu ccm!!
mkuu endelea kuwapa somo hawa Bavicha..Mnalazimisha kila penye mbunge tusigawe tena, kuna wabunge hawana mvuto tena. Mambo ya 2010 haya apply leo. siasa imebadilika kila chama kimejijenga hamtaki kukubali.
I am sure hata mbatia angetumia akili alitakiwa kujua kwamba huu udhalimu ndio unaowaondoa watu wake kwenda ACT. cuf hatutakubali tufikie hatua ambapo watu wetu watuhame bila sababu ya msingi.