CUF hatutayumbishwa na nyodo zenu

CUF hatutayumbishwa na nyodo zenu

Usiwe mpuuzi Maalim seif kachukua fomu na akawa mgombea pekee cuf. Zanzibar hakuna upinzani mbali ya cuf so hakukuwa na haja ya kupata baraka za ukawa.

Huku bara wote tunanguvu na uzoefu. Lazima tuchuane kidemocrasia na kuridhiwa na wanachama wetu.

We Mmakonde bure kabisa, khaaa!!
 
Mimi sibmwanasiasa lakini demokrasia ya upinzni inanishangaza sana.
Wachambuzi mbalimbali UKAWA ulipoundwa walitoa maoni kwamba kutakuwa na matatizo baadaye kwa kuwa maamuzi ya kuunda UKAWA yalikuwa ya viongozi peke yao bila ridhaa za wanachama.
Katiba yetu ya sasa hairuhusu vyama kuungana hivyo lazima yawepo maridhiano taratibu gani zitatumika katika muungano huo. Hivyo wanachama lazima wajue na kupima faida na hasara za muungano huo.
Nadhani wanachama wa vyama vingine vya CDM,NCCR na NLD wameburuzwa na viongozi wao. Waacheni CUF waamue kwenye baraza lao kuu watoe ridhaa itakuwa na maana zaidi kuliko kuamua Lipumba peke yake.
 
All what CUF is planning to do is to play "Religion Card". Mmeona kwamba CCM wamesimamisha mgombea mkristo na UKAWA wameweka Mkristo, sasa mkaona mjitoe ili mgombea wenu Muislam apewe kura za huruma na waislam... Hiyo strategy ni mbaya mbaya mno ndugu zangu. Mnajua hatahivyo kura atakazopewa prof Lipumba hazitatosha kumpa uraisi lkn mnadhani kura zitakua nyingi kiaasi cha kuwafanya mpate zuruku kubwa kuliko mnayoipokea sasa. Nakuhakikishie kwa mtindo huo hatutapata Katiba ya wananchi ambayo watanzania wanaisubiria toka kwenu. Na CUF hamtaaminika tena na vyama vingine isipokua CCM tu..

Point of correction: CHADEMA sio UKAWA!
Kama ni suala la maslahi ya kuweka mgombea urais hata CHADEMA wanauchu nayo, unaonaje urais akiachiwa NCCR anayehitaji kujenga uwezo wa chama chake? CHADEMA please be fair or else face the reality sensibly!
 
Tuheshimiane Mkuu... Cuf ndiyo chama pekee ambacho hatujapata kashfa juu ya matumizi ya pesa pia rushwa... wengine issue ya pesa wamevurugana sana.

Mkuu unayoyaongea ni ukweli mtupu die for it
 
Hakuna mwana CUF atakaye post upumbavu kama huu....... Wewe siyo mwana CUF, bali unataka kutumia mwamvuli wa CUF kuivuruga UKAWA..... Wewe ni mpumbavu

Aivuruge Ukawa kwani hapa ni kikao cha maamuzi?
 
Tuheshimiane Mkuu... Cuf ndiyo chama pekee ambacho hatujapata kashfa juu ya matumizi ya pesa pia rushwa... wengine issue ya pesa wamevurugana sana.

Mbona unswaza pesa mara hii au zile za Dodoma zimekuja huko kuvuruga Ukawa!
 
Point of correction: CHADEMA sio UKAWA!
Kama ni suala la maslahi ya kuweka mgombea urais hata CHADEMA wanauchu nayo, unaonaje urais akiachiwa NCCR anayehitaji kujenga uwezo wa chama chake? CHADEMA please be fair or else face the reality with sensibly!
[/QUOTE

Abgalizo- ccm wana hofu sana uchaguzi huu na nsiwape nafasi ya kuwavuruga.
 
Tushindane kwa hoja sio matusi... serikali ya kitaifa zanzibar ipo kisheria na imeleta ufanisi na amani zanzibar. kama mnatutakia mema mlitakiwa mtusifie kuishi kwa amani.

Kuhusu kujitoa UKAWA siyo kweli. sisi ndio waasisi wa ukawa muulizeni dr.slaa atawaambia role ambayo cuf imeplay. Tatizo kubwa hapa ni kwamba mmeaminishwa kwamba bila slaa hatushindi huo ni woga na upumbavu maana mmepumbazwa na propaganda.

Angechaguliwa Lipumba mngeitisha vikao vyenu vya chama nje ya UKAWA au Leo ndiyo mmejua mnatakiwa kuwa na vikao vya chama chenu?
 
Mimi sibmwanasiasa lakini demokrasia ya upinzni inanishangaza sana.
Wachambuzi mbalimbali UKAWA ulipoundwa walitoa maoni kwamba kutakuwa na matatizo baadaye kwa kuwa maamuzi ya kuunda UKAWA yalikuwa ya viongozi peke yao bila ridhaa za wanachama.
Katiba yetu ya sasa hairuhusu vyama kuungana hivyo lazima yawepo maridhiano taratibu gani zitatumika katika muungano huo. Hivyo wanachama lazima wajue na kupima faida na hasara za muungano huo.
Nadhani wanachama wa vyama vingine vya CDM,NCCR na NLD wameburuzwa na viongozi wao. Waacheni CUF waamue kwenye baraza lao kuu watoe ridhaa itakuwa na maana zaidi kuliko kuamua Lipumba peke yake.

Mkuu unajielewa kwel? Unakumbuka BUNGE la KATIBA lilikuwa mwezi gani? Tangu kipindi hicho vikao vya UKAWA viliendelea kwanini hawakuwaambia wanachama wao wasubiiri hadi tareh yakutangaza mgombea wameweka leo waseme wanaenda kuwashirikisha wanachama wao au Mwanzo waliwaambia kuwa VYOVYOTE iwavyo lazima LIPUMBA awe mgombea wa UKAWA jamaa wa CUF hawajitambui wanataka kusafiria NYOTA ya CDM full stop Jambo ambalo haliwezekani watu wanajenga chama kila iitwapo Leo wao wako kwenye Sebule za Hotel kutangaza vyama vyao then wagawane sawa BIG NO asie fanyakazi asile Nawaomba viongozi wa Vyama vingine wasiwambeleze CUF ingawa tunawahitaji lkn hapana kuwaabudu
 
Back
Top Bottom