Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,573
Na nyie mlikuwa wapi hadi sasa hamna mgombea Urais na hamja kaa kikao kumteua? Au ni yule yule padri?Toka mwaka jana mlikuwa wapi? Mbona ile ya zanzibar ya kuungana na ccm hamkukaa kikao? Acha unafiki wewe, mmemkumbuka bwana wenu ccm!!