Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,522
Hamna shida, nitarudi siku nyingine.Hapo hapo ila hakuna kubaki
Hamna shida, nitarudi siku nyingine.Hapo hapo ila hakuna kubaki
Mbuyuni restaurant.Leo siku ya chakula pendwa , Biriyani ,my crush tukale wapi au umeweka order wapi ?
Wapare sio watu🤣Si unajua wapare sie 🤣🤣
😅Hamna shida, nitarudi siku nyingine.
Baasiiiii ni mtag au😅Leo siku ya chakula pendwa , Biriyani ,my crush tukale wapi au umeweka order wapi ?
Kuna ambao hatujataja, ukute ndio huyohuyo🤣🤣Nafuatilia comment Hadi hapa hakuna aliyemtaja crush wangu😜
Mashirima kasema uende, lasivyo anatoa siri zako.
Wote sio watu kasoro mimi 😅Wapare sio watu🤣
Hahahaha,mnaviziana 🤣🤣,safi sana,mie ndio maana penda sana JFKuna ambao hatujataja, ukute ndio huyohuyo🤣🤣
Shindii sina siri mwambie atoe tu ai donti kea ene moa😇Mashirima kasema uende, lasivyo anatoa siri zako.
Naona umejipa jukumuBaasiiiii ni mtag au😅
Natamani nirudi kufatilia huko juu ila sasa sitatoboa🤣🤣🤣Kuna sehemu nimeona mkaka kamtaja mdada wamechombezana kiaina.
Nimeona wivu ndo nikagundua kumbe namcrush huyo kaka kwa mbaliii
Kuna siku tunapiga soga na rafiki yangu kuhusu jf , tukajikuta tunamcrush huyo mtu mmoja🤣🤣Hahahaha,mnaviziana 🤣🤣,safi sana,mie ndio maana penda sana JF
Hahahaha, mnaviziana, kudadeki,fake 🆔 lkn zinaishi km kweli vileNafuatilia comment Hadi hapa hakuna aliyemtaja crush wangu😜
Shauri zako nakwambia🤣🤣Shindii sina siri mwambie atoe tu ai donti kea ene moa😇
Hutoboi nakwambiaNatamani nirudi kufatilia huko juu ila sasa sitatoboa🤣🤣🤣
Hatimae ume mtaja 🤗 Join 2017 wowBaba Swalehe umepotelea wapi rafiki yangu? Miss you😍