Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,971
- 168,922
Hivi kumuomba hela crush ni sawa? 🤔Bro crush wako nani🤗
Hivi kumuomba hela crush ni sawa? 🤔Bro crush wako nani🤗
Kwanini mpaka sasa hajatajwa?Hahahaha,ungemtaja tu, Hivi kimya kimya itakua unawatega vijana wote wa 2014, ila kwa mie nikiyesoma Cuba,nimeelewa kwa nn mpk Sasa hajatajwa
Watu watakushangaa! Mimi na matusi wapi na wapiEphen, mkorofi sana huyu mshangazi anapenda kutukana matusi
Sina uhakika ebu jaribu🤣🤣Hivi kumuomba hela crush ni sawa? 🤔
Yule anae nitukanaga Huwa ni AIWatu watakushangaa! Mimi na matusi wapi na wapi
Mie sijaona umetaja wapi?Kwanini mpaka sasa hajatajwa?
Sijamtaja, umesema sababu unaijua ndo uisemeMie sijaona umetaja wapi?
Lini nilikutukanaYule anae nitukanaga Huwa ni AI
Uzoefu unaoesha wale serious hawatajiSijamtaja, umesema sababu unaijua ndo uiseme
Unaenda kuogea kwa wapi? Kuna kitu nataka kuja kuonangoja nikaoge maji ya bahari aisee!
comment zaidi ya mia mbili hakuna hata alie potea njia akakutana na mimi!
🤣🤣 ebooUzoefu unaoesha wale serious hawataji
Nimekuvulia kofia! Wewe kweli mzoefuUzoefu unaoesha wale serious hawataji
Hahahaha🤣🤣 eboo
HahahahaNimekuvulia kofia! Wewe kweli mzoefu
Usije ukaniponza 😀Sina uhakika ebu jaribu🤣🤣
Muombe ukiona ka react vibaya mwambie nilikua nakutania we nae🤣🤣Usije ukaniponza 😀
Nenda kwenye Uzi wa tajiri gsm wa katoro, ulitukana sana mpaka nikahairisha kukutongoza siwezi kua na mke mtukanaji🤣🤣Lini nilikutukana