min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 59,651
- 172,184
Unaonekana kwa manati sana 🥲Mbona haujanitaja sasa☹️☹️☹️
Unaonekana kwa manati sana 🥲Mbona haujanitaja sasa☹️☹️☹️
Unitag ukimtaja ,itasaidia sanaNgoja nimalize Pepsi yangu ya Baridi nije kumtaja Crush wangu 😊😋
Utafiti wangu mdogo humu jukwaani watu hawajui au hawaelewiHahahaha,watu wako serious, hawajui kama ni chitchat au MMU
🙆😂 Okay!Unitag ukimtaja ,itasaidia sana
Njoo najua wewe huna baya babeNgoja nimalize Pepsi yangu ya Baridi nije kumtaja Crush wangu 😊😋
Asilimia 99.90 ya wachangiaji wa uzi huu hawajawahi miliki million 1 ya pamoja ikiwemo mleta madaWeka humu 🗑 🚮
Hapana ,bado unalipa sana.H
halafu kweli..
Sijui nimezeeka🤣🤣🤣
Na wengine hawajui kama jukwaa waliopo ni chitchat and jokes ,na ndio maana kdg tu wanapanicUtafiti wangu mdogo humu jukwaani watu hawajui au hawaelewi
Ukisoma uzi Tittle inasema
Crush wako jukwaani si lazima wa kimapenzi
Iila sasa wanabadili mambo lol 😆
Hii nimeiona kwenye nyuzi nyingine pia
So mie naenda nalo tu 🤣🤣🤣
Weka humu again 🚮🗑Asilimia 99.90 ya wachangiaji wa uzi huu hawajawahi miliki million 1 ya pamoja ikiwemo mleta mada
taja kwanz crush wakoJf burudani kwa wote
😅😅😅 nomaNa wengine hawajui kama jukwaa waliopo ni chitchat and jokes ,na ndio maana kdg tu wanapanic
Katooooooombw na hiyo milion yakoAsilimia 99.90 ya wachangiaji wa uzi huu hawajawahi miliki million 1 ya pamoja ikiwemo mleta mada
Hahahaha, Please Mimi naomba unitoe,MkuuAsilimia 99.90 ya wachangiaji wa uzi huu hawajawahi miliki million 1 ya pamoja ikiwemo mleta mada
vibaya mno 😅😪😭Inasikitisha sana
Unazunguka mbuyu why😅Crush wangu utajitaja mwenyewe 😊 au unasubiri nikutaje........................🍷