ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,408
- 45,796
- Thread starter
- #341
Hatuwezi kua serious muda wote mkuuJf burudani kwa wote
Hatuwezi kua serious muda wote mkuuJf burudani kwa wote
Sahihi sanaHatuwezi kua serious muda wote mkuu
We huna una m crush?Sahihi sana
Kwenye ujengaji wa hoja
Kiranga
Infropreneur
Scars
dosho12
binti kiziwi
Robert Heriel Mtibeli
Mshana Jr
Pascal Mayalla
LUMUMBA , kidogo tag yangu imeshindwa kumpandisha
Mods wamefutaNenda kwenye Uzi wa tajiri gsm wa katoro, ulitukana sana mpaka nikahairisha kukutongoza siwezi kua na mke mtukanaji🤣🤣
Wengi sana wapo, Kuna nyuzi za hivi nilishawataja way backWe huna una m crush?
Ooh okay karibuWengi sana wapo, Kuna nyuzi za hivi nilishawataja way back
Crush wangu bora umekuja 😊Unaenda kuogea kwa wapi? Kuna kitu nataka kuja kuona
Hahaha mno bwashee hilo halina mpinzani kabisaMtani kihurio kwa hoja tumesheheni
Barikiwa sanaOoh okay karibu
Amwambie tu ni chitchatMuombe ukiona ka react vibaya mwambie nilikua nakutania we nae🤣🤣
Weka humu 🗑 🚮Uzi wa vijana wasiojtambua
Hata chitchat atakasilika ?Usije ukaniponza 😀
Si ndio 😀Amwambie tu ni chitchat
Hahahaha,watu wako serious, hawajui kama ni chitchat au MMUSi ndio 😀
Basi sawa👍Mods wamefuta
Mbona haujanitaja sasa☹️☹️☹️Crush wangu bora umekuja 😊