john rasul
Member
- Jan 2, 2015
- 36
- 39
Kupiga collabo la kande kwenye tawi la mgomba/magimbi maana sahani zilikua hazitoshi! ~Oldadai sec
Ukoko una thamani kubwa mno boarding...daaah ctak kkumbuka aiseehahaha hata uboyzin ivyo hivyo
Advance hii kitu niliichukia kishenziBaada ya kuonekana hatunyoosheki kwa bakola, mwalimu mkuu aliamua kutuomba msamaha na kutuomba tuchomekee shati zetu walau tu pindi Shure inapotembelewa na wageni.
DAH SIJUI KWANINI NILIKUWA MZEMBEkwa shule za bweni,madume watupu,siku ya disko ilikuwa ishu..matayarisho ni zaidi ya miezi miwili.....kuhusu viwalo ,kwenda library ilikuwa muhimu ie kuazima pafyumu na nguo...kachupa ka pafyumu huwa kanakuwa kamoja,mnapulizia kwa zamu...ukichelewa ukikuta imeisha,unavunja kale kamdomo ka chupa then unajaza maji ,unatikisa kidogo,nawe unapaka....ndo maana kuna kademu wakati wa bluzi kaliwahi kuniuliza mbona wote mnanukia harufu zinazofanana??..nikapata kigugumizi..nikabaki eeer ooh eerr...ndani ya disko ole wako usiopoe kademu hasa wakati wa bluzi...bwenini hautakaa...manake baada ya disko wenzio wataanza kuletewa barua zenye manukato ,wewe hola!!!
kuhusu stempu ...kulikuwa na kaujuzi ka kufuta ule muhuri nafikiri kwa kutumia sponji na sabubi flani....then una reuse......maisha yalikuwa raha sana jamani!!!
~Ulitengeneza water heater kwa kutumia spring za vitanda. Usiku wa manane unachemsha mahindi ya shamba la shule. Container la kuchemshia mahindi ni plastic la nje la chupa ya chai iliyoondolewa flask yake, inashikiliwa upside-down, i.e mfuniko ndo unakuwa base, na bottom yake inafunguliwa kuwa ndo mdomo wa 'sufuria' lako. Heater inawekwa kwanza katikati, then mahindi yanakatwa vipande na kupangwa around the heater.
Ukimaliza kuchemsha unarudisha waya wa umeme juu ya dari ambako ndiko connection ilikofanyika, kwani ni marufuku kutumia umeme wa socket!
Wewe ulikuwa Ifunda technical nimekustukia!!!~Ulitengeneza water heater kwa kutumia spring za vitanda. Usiku wa manane unachemsha mahindi ya shamba la shule. Container la kuchemshia mahindi ni plastic la nje la chupa ya chai iliyoondolewa flask yake, inashikiliwa upside-down, i.e mfuniko ndo unakuwa base, na bottom yake inafunguliwa kuwa ndo mdomo wa 'sufuria' lako. Heater inawekwa kwanza katikati, then mahindi yanakatwa vipande na kupangwa around the heater.
Ukimaliza kuchemsha unarudisha waya wa umeme juu ya dari ambako ndiko connection ilikofanyika, kwani ni marufuku kutumia umeme wa socket!
Back bencher + Mwenda nyumbani bila ruhusa(Wa kwanza kuondoka shule).Ulikua NanView attachment 886201
Ulikuwa fala sana weweBack in the days mi na wanangu tulikua boarding school sasa karibu kila siku hatuli chakula cha skuli (hata ukiwa wali) usiku tunaenda kula chips au tambi nk tukirudi shule hatusomi ni stori tupu na kuchat thanks God group letu tukawa na div 1 na 2 basi
Kuna Dem nilivokua fm2 siku namuona tu nikampenda alikua chotara basi nikampa smart phone,canteen kila siku namlipia but nikawa namuogopa akanilia hela zangu akamaliza skul coz alikua form 4 aka fail akabaki home,
Aliniendesha sana kila atakacho nampa ,elfu 10 mpaka 50 najibana pocket money, nilivofika form 5 akaolewa then akani block whatsapp,
Dah toka kipindi kile simuamini kiumbe anayeitwaga mwanamke, na hata mahusiano yangu mengine yanadumu mpaka week 2 tu napiga chini
Nikikumbuka dah am sad