Crazy things you did in secondary school

Invisible

Robot
Joined
Feb 11, 2006
Messages
9,097
Points
2,000

Invisible

Robot
Joined Feb 11, 2006
9,097 2,000
~ Got chased by the headteacher and deputy head. A whole crowd of us in school uniform were in one area our school had forbidden to enter, otherwise could result in expulsion. Only 2 were caught; thank God I was not part of the two.

~ You used my camera to take photos of your sleeping friends, especially when they were drooling and posted it on the announcement boards.

~ Used to sneak out of school all the time as a day student and buy foodstuff that were all contraband.

~Would go to the dining hall before the lunch bell goes.

~ Used to write lyrics of the artists of your preference. (remember 2Pac, Bob Marley?)

~ Ulizoea kujiandikia barua ili uonekane wewe ni mpokeaji mzuri wa barua.

~ Ukitumiwa EMS au TMO basi wewe unaonekana baab kubwa!

~ Kuchomekea shati ilikuwa kero kwako, ulifanya hivyo wakati wa kukaguliwa Jumatatu baadaye 'unapiga chini'.

~ Kufua soksi ilikuwa kero sana kwako, ulikuwa unazivaa mara 5 kwa wiki kisha unazifua Jumamosi (ukiwa na pair moja).

Hizi ni baadhi, tena nyingi ni kwa upande wa wanaume. Ladies, tell us what you used to do (crazy ones pls).
 

yellow eyes

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2018
Messages
1,813
Points
2,000

yellow eyes

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2018
1,813 2,000
Nakumbuka nikiwa Form 1, tulikuwa tunafanya mtihani wa kiingereza basi baada ya muda wa mtihani kuisha mwalimu akasema wote wekeni kalamu chini, mimi kuangalia nilikuwa nimejibu maswali kama matano tu kati ya kumi na tano , basi tulivyoambiwa kila mtu alete mbele karatasi tulizofanyia mtihani mimi niliificha ya kwangu sikuikusanya kabisa. Siku mwalimu anarudisha makaratasi ya mitihani kwa wanafunzi na mimi nikamdai kuwa mbona mimi sijapata mtihani wangu, basi mwalimu alienda ofisini alitafuta bila kupata baade ikabidi anipe tu maksi akaniandikia 78%.
We noma inaonekana hata chuo kipindi cha discussion ulikuwaga unawasumbua sana wanagrup. Yan uliiva ukiwa form one tu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Faqboy

Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
41
Points
95

Faqboy

Member
Joined Sep 10, 2018
41 95
Dah pale nilipotumia muda Wang kujib chemistry 2 exam ambao n wa girlfriend ang na kuxhindwa kmaliza maswal kwa upande Wang kitu kilchozua mjadala baada ya kpata grade B kitu ambacho ckuwah Ku fail namna hyo japo ilikuwa f6 terminal exam 2017
 

minji

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2016
Messages
2,127
Points
2,000

minji

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2016
2,127 2,000
Dah pale nilipotumia muda Wang kujib chemistry 2 exam ambao n wa girlfriend ang na kuxhindwa kmaliza maswal kwa upande Wang kitu kilchozua mjadala baada ya kpata grade B kitu ambacho ckuwah Ku fail namna hyo japo ilikuwa f6 terminal exam 2017
Umenikumbusha mbali sana
 

Big Fat Lady

Senior Member
Joined
Jul 26, 2019
Messages
153
Points
250

Big Fat Lady

Senior Member
Joined Jul 26, 2019
153 250
Maisha yangu ya shule yalikua hakipole mno... Ila nakumbuka tu machache... O-level nilikua na simu kwenye missionary school. Taarifa zikasambaa dogo wa form 3 ana simu basi hadi A-levek wakawa wanaomba. Nikapiga simu casta home waje waichukue simu kabla sijafukuzwa.
A-level nikakamatwa na simu , niliiba funguo za displinary committee office nikaenda kuchaji. Ilikua government school... Nilisimamishwa bila taarifa ya unatudi lini. Yaani baada ya miezi miwili baba akaonhea na rafiki yake nikarudishwa shule. Nilikua nishaanza kutafuta shule nyingine.
 

Forum statistics

Threads 1,390,911
Members 528,291
Posts 34,066,404
Top