For now,my wife is at the countryside.I'm all alone. Now,when preparing ugali one day,I put a lot of water without knowing ??? in a sufuria,cooked the ugali,put flour then added,added,added hadi nikawa napika smthng ambacho ningeaibika iwapo ningalikuwa na mgeni.
Umenikumbusha mbali miaka hiyooo niliandika jina lake kila nilipopta mwanya, nilikua nafanya kazi basi muda ule wa kuondoka ulikua haufiki haraka , jamani tulipendana sana hata hakuna namna ya kuandika vizuri hapa. Huwezi amini huyu ndiye mume wangu na mpaka sasa ule upendo haujawahi kuchuja . Namshukuru sana Mungu.
Inawezekana mkuu, all I know is she made me go nuts that time na namshukuru Mungu ilienda vile tulitaka and we ar here now. Ila am not a believer saana of true love hahaaa
Umenikumbusha mbali miaka hiyooo niliandika jina lake kila nilipopta mwanya, nilikua nafanya kazi basi muda ule wa kuondoka ulikua haufiki haraka , jamani tulipendana sana hata hakuna namna ya kuandika vizuri hapa. Huwezi amini huyu ndiye mume wangu na mpaka sasa ule upendo haujawahi kuchuja . Namshukuru sana Mungu.
tatizo lako ndogo tu ni UVIVU na KUJISIKILIZIA.
Tatizo likiunganika linauwezo wa kutengeneza scen mbalmbal kchwan ili tu ukae kichovuchovu.Mwenzako hana muda wa kukuwaza hvyo na HAKIKA AKIKUOA ATAKUACHA KWA KUUNGUZA VYAKULA
mi huwaga najisemesha mwenyewe hahhahah
naigiza kama niko nae hhahahha
kwa mfano nasema you know M i lov u
basi najijibu mwenyewe me too baby,sitaki kukukosa kabisa
dahh kuunguza chakula hata juzi niliunguza nikanunua chips nikala ila sikumwambia
hahhahah,hii nishawahi fanya lol..
imebidi tu nichekeeeee,all in all DUA YA KUKU HALIMPATI MWEWWEE..namuamini Mungu
kwa hyo m kuku nawe mwewe.kuku anaweza kuwaza kwa logic kama mimi.HAKIKA UTAACHWA KUFANANISHA WANAUME KAMA KUKU.ALAFU WE N MWEWE KWA HYO N KIRUKA RUKA.NAMUONEA HURUMA ANAYEDANGANYWA ANAPENDWA NA MWEWE MWE!
For now,my wife is at the countryside.I'm all alone. Now,when preparing ugali one day,I put a lot of water without knowing ??? in a sufuria,cooked the ugali,put flour then added,added,added hadi nikawa napika smthng ambacho ningeaibika iwapo ningalikuwa na mgeni.
haha,acha yani,afu ukiskia mtu anakuja to ur room unajikausha,kumbe ulikuwa
acha tu myn unataman hawe hapo umkumbatie bila kumuacha