Crazy things we do tukiwa na mawazo juu ya tuwapendao.....

Crazy things we do tukiwa na mawazo juu ya tuwapendao.....

Labda hii hali inabagua me haijawahi nitokea na haitatokea...!

images
 
niliwahi kukesha nikiongea na simu afu asubuhi nikaunganisha kanisaniiii
 
let me tell you something a love filling attack inaweza kuwa negative unaweza ukaaccount unampenda kumbe its a way au njia ya kupita sehemu flani mana ni within seconds pia unaweza loose interest badiebey
 
Last edited by a moderator:

yawezekana,umesema la msingi sana
 
Last edited by a moderator:
niliwahi kukesha nikiongea na simu afu asubuhi nikaunganisha kanisaniiii

hahhaha,umetishaa,umenikumbusha the days wen am from the club the night b4 na kanisani nafika on time na silali hata kidogo
 
Daaaah,,,,,, niliwahi kutembea siku 2 nzima bila kulala go n' return just for him!! kupendana raha sana!!!
 
hmm kipengele hicho ni hatar....
Sometimes inakuwa ni emotional ya kupita na ukaamka kesho mawazo yote hakuna..
Sometimes inakuwa umefall..hapo patam sasa unajikuta unatabasam mwnyw kila wakati
 
Mwaya enjoy the moment and be happy mamii! Nothing can be more beautiful than falling kwa anayekupenda pia!
 
Money Stunna, come this way!
Habarini za Jioni wana JF MMU....
Leo yamenikuta yale kuchanganyikiwa kidogo kisa kumuwaza mtu....mhhh and it's been hell of a long time since i felt this way,sijui am falling in love??...mhh naogopaje sasa hizi mambo...simnajua mambo mengi sikuhizi ,moyo wa mtu siwezi usemea hata kidogo..:
BACK TO STORY
Nipo zangu napika na kibaridi hiki nishaoga nimetupia sweater na socks,namuwaza YULE KAKA,hehhh sijui imekuwaje eti the next thing i know chakula kinaungua jikoni ndo nakurupuka nabadilisha sufuria,sijui how it happened,siunguzagi msosi kabisa,
naweka chai nayo bila kujua naona ishamwagikia jiko,aaahhhhh,nimeshangaa sana leo,and nilikuwa nimekaa tu muda yanatokea....yote haya kisa kumuwaza mtu,moyo wangu sijui una ajenda gani ya siri.....I wanna know umenipa ninii....
Enewei...em na wewe niambie the times u did crazy things for the one you loved wether kwa kujua ama kutojijua,mana mi leo sikujua kabisa wat was happening hapa wakati napika.......
 
Last edited by a moderator:
Mwaya enjoy the moment and be happy mamii! Nothing can be more beautiful than falling kwa anayekupenda pia!

mhh moyo wa mtu kiza kineneee,ukute ye hastuki hata kucha
 
Back
Top Bottom