Crazy things we do tukiwa na mawazo juu ya tuwapendao.....

Crazy things we do tukiwa na mawazo juu ya tuwapendao.....

badiebey

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
5,875
Reaction score
3,117
Habarini za Jioni wana JF MMU....

Leo yamenikuta yale kuchanganyikiwa kidogo kisa kumuwaza mtu....mhhh and it's been hell of a long time since I felt this way,sijui am falling in love?...mhh naogopaje sasa hizi mambo...simnajua mambo mengi sikuhizi ,moyo wa mtu siwezi usemea hata kidogo..:
BACK TO STORY
Nipo zangu napika na kibaridi hiki nishaoga nimetupia sweater na socks,namuwaza YULE KAKA,hehhh sijui imekuwaje eti the next thing I know chakula kinaungua jikoni ndo nakurupuka nabadilisha sufuria,sijui how it happened,siunguzagi msosi kabisa, naweka chai nayo bila kujua naona ishamwagikia jiko,aaahhhhh,nimeshangaa sana leo,and nilikuwa nimekaa tu muda yanatokea....yote haya kisa kumuwaza mtu,moyo wangu sijui una ajenda gani ya siri.....I wanna know umenipa ninii....
Enewei...em na wewe niambie the times u did crazy things for the one you loved wether kwa kujua ama kutojijua,mana mi leo sikujua kabisa wat was happening hapa wakati napika.......
 
Kuna uwezekano wa mawili kwamba ur falling in love na ndo maana una daydream 🙂 au inatokea tu wakati mwengine siku zinakuwa tofauti na kila unachofanya hakiwi unaharibu!!!Na kaswali unayemuday dream ni ex au a recent person you met?
 
.....hiyo siku sikulala kabisa mpka asubuhi saa moja naenda kuoga sijafunga macho kwakuongea na simu.....alikua yeye....
 
Mi nilishawah kuwa chizi kisa haya mapenz jaman!yaan ile ikua mahaba niue,kama siyo mahaba nivuruge kama bunge la katiba...mwishowe nkagundua wasnt love but crush tu!so angalia bibie ucje mix crush and love.
 
.....hiyo siku sikulala kabisa mpka asubuhi saa moja naenda kuoga sijafunga macho kwakuongea na simu.....alikua yeye....

aisee ulikeshaa....hongera sana,ila 'mlikesha'
 
When i fall..najionaga nna mihelaa....filn awesome....

Nakua na endless happines ya ck....

Lait ngekua nafall everyday...ngejua binadam mwenye furaha maisha yote...
 
Kuna uwezekano wa mawili kwamba ur falling in love na ndo maana una daydream 🙂 au inatokea tu wakati mwengine siku zinakuwa tofauti na kila unachofanya hakiwi unaharibu!!!Na kaswali unayemuday dream ni ex au a recent person you met?

recent person i met...
 
When i fall..najionaga nna mihelaa....filn awesome....

Nakua na endless happines ya ck....

Lait ngekua nafall everyday...ngejua binadam mwenye furaha maisha yote...

vipi lakini ushampata wife material
 
Mi nilishawah kuwa chizi kisa haya mapenz jaman!yaan ile ikua mahaba niue,kama siyo mahaba nivuruge kama bunge la katiba...mwishowe nkagundua wasnt love but crush tu!so angalia bibie ucje mix crush and love.

poleeeh swtheart....i hope sitachanganya madesa
 
Back
Top Bottom