Crazy things we do tukiwa na mawazo juu ya tuwapendao.....

Reminds me of the time when we were tender and young. Siku kadhaa after I met her, love at first sight and nalazimika kurudi job. Verry far away from her ilikua living hell aisee.....nilikua naharibu kazi ajabu, halafu kila saa niko kwenye simu kila mtu akiingia kwenye cubicle yangu ananiambia watsup mbona unasmile tu? Nikifanya hiki naharibu boss anafoka mi nasmile....I almost lost my job,ukizingatia ndo kwanza nilikua probation period. I cant believ she is here with me now. Two kids. I love her na kila nikikumbukaga zile moments machozi hunitoka.....duhhh

its good for you.happy ending is all what we need
 
I cant forget yaani nilikuwa dodoma network ya shida naongea na mbebe wangu wa enzi zile usiku wa manane yaani naacha kulala naenda kujianika dirshani nimesimama more than 2 hours,kitandani network haishiki atleast dirishani au utoke nje kabisa ,nw kila nikikumbuka nakua kama siamini kama mimi ndo nilikuwa nafanya vile
 
hahaha,hapana chezea kupenda..ehe em tuambie ndo wife huyo dada?
 
Kwa heshima hiki cheo naomba nisisimlie kamkasa kangu maana ikijulikana naweza kuvuliwa vyeo vyote au watu wakawa wananipigia saluti huku wanatabasamu ambayo kwa sheria za kijeshi ni kosa
 
Dah hzo mambo zilinitokea last tym form 4 but toka hapo cjafall tena sio chuo sio kazini.
 
ahhh admiral tuambie bwn,heshima yako ipoo
 
sikuhizi kupendana chap hakuna pozi wala kuringaringa fasta unademu bila hata sound muulize umukagame
 
Last edited by a moderator:
mimi nitakuja kukuadisia baby mwezi wa 6 maana 30 minutes ago nimefanya kitu cha ajabu bila kujua
 
ahhh admiral tuambie bwn,heshima yako ipoo
anyway kwa heshima yako kama mtoa hoja naomba nimege kidogo. Nilikuwa kwenye premises yenye facilite moja nyeti sana ambayo hauruhusiwi kutoka kienyeji na raia hawaruhusiwi kufika hapo achilia mbali kuingia.

sasa ikawa mie mateka kwa dada mmoja ambaye naye moyo wake nilikuwa nimeushikilia mateka. Tukakubaliana kuwa aje tubadilishane mateka tatizo ikawa wakati yeye amepata kanafasi ka kusafiri mpaka nilipo, huku pana ulinzi mkali ile mbaya ikiwemo kamera. Tukala njama mimi na rafiki zangu wawili kwa kutumia medani za kimapambano demu akatia timu mpaka room kwangu akalala siku mbili na akaondoka bila ya kujulikana. Gues what baada ya hapo na marafiki zangu walitumia medani hizo kuwaleta mateka wa mioyo yao.
 
me najikuta tu nimemtumia M-pesa au tigo pesa Excel pacha unajisikiaje?pamoja na Kim nana na Bulldog team#7september(mihongo)

Pacha me najua kupenda wewe, Yani nikimpenda mtu hadi mwenyewe anaapreciate anapendwaaa!
Halafu sioni hasara kuhonga mwenzio....!
Kweli sisi team Mihongo!
 
anyway kwa heshima yako kama mtoa hoja naomba nimege kidogo. Nilikuwa kwenye premises yenye facilite moja nyeti sana ambayo hauruhusiwi kutoka kienyeji na raia hawaruhusiwi kufika hapo achilia mbali kuingia.

sasa ikawa mie mateka kwa dada mmoja ambaye naye moyo wake nilikuwa nimeushikilia mateka. Tukakubaliana kuwa aje tubadilishane mateka tatizo ikawa wakati yeye amepata kanafasi ka kusafiri mpaka nilipo, huku pana ulinzi mkali ile mbaya ikiwemo kamera. Tukala njama mimi na rafiki zangu wawili kwa kutumia medani za kimapambano demu akatia timu mpaka room kwangu akalala siku mbili na akaondoka bila ya kujulikana. Gues what baada ya hapo na marafiki zangu walitumia medani hizo kuwaleta mateka wa mioyo yao.

aiseee,very risky hyo
 
Back
Top Bottom