Crazy things we do tukiwa na mawazo juu ya tuwapendao.....

Reminds me of the time when we were tender and young. Siku kadhaa after I met her, love at first sight and nalazimika kurudi job. Verry far away from her ilikua living hell aisee.....nilikua naharibu kazi ajabu, halafu kila saa niko kwenye simu kila mtu akiingia kwenye cubicle yangu ananiambia watsup mbona unasmile tu? Nikifanya hiki naharibu boss anafoka mi nasmile....I almost lost my job,ukizingatia ndo kwanza nilikua probation period. I cant believ she is here with me now. Two kids. I love her na kila nikikumbukaga zile moments machozi hunitoka.....duhhh
 
hahhahah with the smiles nimebaki nacheka tu,kama nakuona vile,the ending is so goood jmn,congrats u two
 
Dah... nakumbuka enzi zileeew za kipindi kileeee naanza kupenda, yaan ilikuwa balaa nusura ya mkosi mpaka my mummy akagundua.

Iko hivi siku hiyo nilikuwa nakatakata nyanya si nikamuwaza jamaa nilipigwa bumbuwazi nikabaki nimeshikilia nyanya na kisu ila sikati wala sifanyi chochote bali namuwaza jamaa....

Dah... Sijui kama hiyo hali itarudi...
 
mhh moyo wa mtu kiza kineneee,ukute ye hastuki hata kucha

Hahahaa... hapo sasa! Only time will tell..only time.
Pray for him pia, ili kama siye apotee km ndege ya malaysia!
 
yanii acha kabisa,i pray Mungu anisikie kama sio rizki aende kwa mwingine,nisipoteze muda wake na wangu
 
Reminds me of the time when we were tender and young. Siku kadhaa after I met her, love at first sight and nalazimika kurudi job. Verry far away from her ilikua living hell aisee.....nilikua naharibu kazi ajabu, halafu kila saa niko kwenye simu kila mtu akiingia kwenye cubicle yangu ananiambia watsup mbona unasmile tu? Nikifanya hiki naharibu boss anafoka mi nasmile....I almost lost my job,ukizingatia ndo kwanza nilikua probation period. I cant believ she is here with me now. Two kids. I love her na kila nikikumbukaga zile moments machozi hunitoka.....duhhh

This is what we call true love daaah
 
mhhh unajuaje if it's a real match??

unajua hivi,....nikimwangalia demu machoni wakati tumegongana macho na build strong LOVE inside afu naitransmit kwa soul yake nafanya shareintact,kama nae alifil something aka build zina wekabond hiyo ni unseen natural selection ..then namsalimia anajibu kwa furaha DAT A REAL MATCH badiebey
 
Last edited by a moderator:
unajua hivi,....nikimwangalia demu machoni wakati tumegongana macho na build strong LOVE inside afu naitransmit kwa soul yake nafanya shareintact,kama nae alifil something a build zina wekabond hiyo ni unseen natural selection ..then namsalimia anajibu kwa furaha DAT A REAL MATCH badiebey

mhhh hyo apo ndo physics au chemistry,mana imepangiliwaa...good if it works for you
 
Last edited by a moderator:
mhhh hyo apo ndo physics au chemistry,mana imepangiliwaa...good if it works for you

lovescience ila try afu haina ubaguzi wa itikadi au stress za kutongozana kwa uwongo, badiebey
 
Last edited by a moderator:
lovescience ila try afu haina ubaguzi wa itikadi au stress za kutongozana kwa uwongo, badiebey

hahha,labda,itabidi uniazime kidesa mana formula hyo sijaelewa kabisaa
 
Last edited by a moderator:
hahhahah with the smiles nimebaki nacheka tu,kama nakuona vile,the ending is so goood jmn,congrats u two

Asante, ndo hivo nilikua kama zuzu flani hivi, sasa with my work haturuhusiwi kuingia na simu compound, 12hours shifts bila simu, nikawa nafanya mpango nahonga walinzi naingia nayo sa ndo maana kila mtu akawa nashangaa. Akiingia tu ofis yangu naficha haraka haraka but wananikuta bado nna that glow from the texting wanashangaa huyu jamaa anachizi nini? Ilikua mbaya sana hahaaa
 
Back
Top Bottom