Crazy things we do tukiwa na mawazo juu ya tuwapendao.....

Crazy things we do tukiwa na mawazo juu ya tuwapendao.....

em tusimulie kimoja yakheeee...

akiwa mbali muda mrefu nakasirika , nammiss na mwishowe tunaishia kugombana na kununiana..........

akifika tu nilipo hata hatuzungumzii mgogoro uliokuwa mkali , tunaishia kugegedana na kula gud time mpaka anapoondoka tena.
 
He he he hureeeeeey
 
The beast side of love is that... the person you love wala hana muda na wewe!! Lakini kinachoshangaza zaid ni kwamba hata huyo ambaye hana muda na wakati unampenda kunasiku na yeye atakuja kwako then na wewe utaanza mchunia...the circle goes....HAMNA KITU KIBAYA KAMA KUPENDA HASA USIPENDWA...AU MTU KUGUNDUA UNAMPENDA...
 
Reminds me of the time when we were tender and young. Siku kadhaa after I met her, love at first sight and nalazimika kurudi job. Verry far away from her ilikua living hell aisee.....nilikua naharibu kazi ajabu, halafu kila saa niko kwenye simu kila mtu akiingia kwenye cubicle yangu ananiambia watsup mbona unasmile tu? Nikifanya hiki naharibu boss anafoka mi nasmile....I almost lost my job,ukizingatia ndo kwanza nilikua probation period. I cant believ she is here with me now. Two kids. I love her na kila nikikumbukaga zile moments machozi hunitoka.....duhhh

Woow I love this
 
Back
Top Bottom