Crazy things we do tukiwa na mawazo juu ya tuwapendao.....

Crazy things we do tukiwa na mawazo juu ya tuwapendao.....

Khaah! Nakumbuk tulikerana akaj kuomba msamah nikagom kutoka nae akagom kuondok na rafiki zke nilipoona kiza kimetanda sasaba nikaiba gari kumfuata nimrudishe kwao bishost kashtukia dili acha nichezee kichapo nikakatazwa ht company ya wavulana hpo npo chuo mwak wa kwanza lol nilitengenezwa nikaiva km biskut.
hahhahaha,polehh..lakini home kwao si ulimfikisha au mama alivogundua ndo ikawa mwisho wa story
 
Whenever i think of him i miss his terribly & i can't seem to focus on anything. I keep re-reading our chat messages over & over again. At times i feel so horribly lonely although unanikuta nipo na wenzangu but it's not been the same without him. Last night i stayed awake till 3am,kuchat naye siwezi coz he's working the night shift so naishia kuangalia picha zake and day dream,damn! Kutwa nzima kalala kutokana na uchovu,f**k this long distance btw us,it's driving me bananas & yet i love him so so much!!!
Mamy ni bora mara kumi hii hali kuliko kuwa na mtu next to u and u wake up in the middle of the night wondering, who is this stranger in ma bed...?! Utatamani asafiri!
 
Bediebey enjoy the moment...! Mie nshawahi kuunguza mboga nasikia inaungua jamaa ndo kwanza ananiambia ipotezee let it burn lol. Next thing jirani kaja kugonga... jamani hamuunguzi huko? Nasikia harufu muda mrefu... I felt so embarrassed
 
Aliniacha nikaenda aisee niliporud nilijua rangi zote za dunia.hapana chezea mama wa kichaga ww.
 
Habarini za Jioni wana JF MMU....

Leo yamenikuta yale kuchanganyikiwa kidogo kisa kumuwaza mtu....mhhh and it's been hell of a long time since I felt this way,sijui am falling in love?...mhh naogopaje sasa hizi mambo...simnajua mambo mengi sikuhizi ,moyo wa mtu siwezi usemea hata kidogo..:
BACK TO STORY
Nipo zangu napika na kibaridi hiki nishaoga nimetupia sweater na socks,namuwaza YULE KAKA,hehhh sijui imekuwaje eti the next thing I know chakula kinaungua jikoni ndo nakurupuka nabadilisha sufuria,sijui how it happened,siunguzagi msosi kabisa, naweka chai nayo bila kujua naona ishamwagikia jiko,aaahhhhh,nimeshangaa sana leo,and nilikuwa nimekaa tu muda yanatokea....yote haya kisa kumuwaza mtu,moyo wangu sijui una ajenda gani ya siri.....I wanna know umenipa ninii....
Enewei...em na wewe niambie the times u did crazy things for the one you loved wether kwa kujua ama kutojijua,mana mi leo sikujua kabisa wat was happening hapa wakati napika.......
Hujakunjwa muda mrefu tuuuuu
 
Back
Top Bottom