#COVID19 #COVID19 NIMR: Chanjo zitakazotolewa Nchini ziko salama kwa asilimia 99.9

Maprofesa wa siku hizi ni janja janja tu.
Sijamsikia na inawezekana akawa sahihi, ila huyu baba alisoma wapi vaccinology? Yeye yuko kwenye samaki na mambo ya bahari muda wote, authority anaitoa wapi ya kuongelea vaccinology? Tuwekee papers zake kwenye hii field.

Huyu ali advocate malimao na NIMRCAF enzi wa Mwendazake, leo analeta talalila za vaccine.
 
Hili la Mug* aya na chanjo za corona limenikumbusha mapropesa Lypumber na sakata la kutengua barua, propesa Muongo na sakata la pesa la escrow!! Wote hao waliweka elimu mfukoni kwa maslahi ya aibu ya tumbo!

Kwa uchungu tukubali ukweli kuwa tutasubiri sana kupata maprofesa hasa wanaozingatia taaluma na kuachana na kitu kidogo!! Sina muda wa kutosha kuleta habari ya propesa Kapuyer na helkopta ya jeshi kuitumia kutembelea washkaji wake kwa gharama ya mlipa kodi wa Tanzania!, propesa Kawermbwer na mdororo wa elimu!

Hebu tuongezee orodha ya mapropesa wetu! Mug*ya huyu huyu wakati wa awamu ya 5 alisema kwenye mhadhara na wasomi wenzake kuwa chanjo huandaliwa na kuhakikiwa usalama wake kwa miaka 10 hadi 15!! Alikuwa anaziponda chanjo hizi hizi anazipigia debe leo!! Ni aibu yake itakayomfuata kwenye historia!
 
Sijamsikia na inawezekana akawa sahihi, ila huyu baba alisoma wapi vaccinology? Yeye yuko kwenye samaki na mambo ya bahari muda wote, authority anaitoa wapi ya kuongelea vaccinology? Tuwekee papers zake kwenye hii field.

Huyu ali advocate malimao na NIMRCAF enzi wa Mwendazake, leo analeta talalila za vaccine.
CV yake ni hiyo! Taaluma yake ni ufugaji samaki. ajabu hajawahi hata kutafuta tiba ya magonjwa ya samaki.
 
Attachments

  • CV Prof-Yunus-Daud-Mgaya.pdf
    311.1 KB · Views: 5
Fungueni hiyo link muone alichokionge huyu "msomi", mwaka huu huu na mlinganishe na anachokiongeza leo kuhusu chanjo za corona!! Unaweza kutapika!
Leo Mgaya huyo huyo anapigia debe alichosema siyo bora! Huyu hapa kwenye link hii chini.
 
Hili la Mug* aya na chanjo za corona limenikumbusha mapropesa Lypumber na sakata la kutengua barua, propesa Muongo na sakata la pesa la escrow!! Wote hao waliweka elimu mfukoni kwa maslahi ya aibu ya tumbo!...
Huyu professor ndumilakuwili hata sikushangaa alipokuwa akiongea utopolo kwenye kipindi cha 360. Ni aibu na fedheha kuwa na mandumilakuwili kama hawa.
 
Hili la Mug* aya na chanjo za corona limenikumbusha mapropesa Lypumber na sakata la kutengua barua, propesa Muongo na sakata la pesa la escrow!! Wote hao waliweka elimu mfukoni kwa maslahi ya aibu ya tumbo!! Kwa uchungu tukubali ukweli kuwa tutasubiri sana kupata maprofesa hasa wanaozingatia taaluma na kuachana na kitu kidogo!! Sina muda wa kutosha kuleta habari ya propesa Kapuyer na helkopta ya jeshi kuitumia kutembelea washkaji wake kwa gharama ya mlipa kodi wa Tanzania!, propesa Kawermbwer na mdororo wa elimu!! Hebu tuongezee orodha ya mapropesa wetu! Mug*ya huyu huyu wakati wa awamu ya 5 alisema kwenye mhadhara na wasomi wenzake kuwa chanjo huandaliwa na kuhakikiwa usalama wake kwa miaka 10 hadi 15!! Alikuwa anaziponda chanjo hizi hizi anazipigia debe leo!! Ni aibu yake itakayomfuata kwenye historia!
Nawewe Uliyefeli shule kule kolomije ukamkunja bila aibu mzee wa watu Jaji Warioba pale Plaza ubungo, vipi maisha yanaendaje baada ya kupigwa chini ukuu wa mkoa hapa Dsm?
 
Siamini macho yangu! Huyu Mgaya leo anatumia elimu yake kupigia debe chanjo za corona ambazo mwaka huu huu alitumia elimu yake kutuambia chanjo za corona hazina ubora! Ukimwamini propesa kama huyu itabidi ukapimwe kwanza akili! Hebu fungua link hii hapa chini halafu ulinganishe alichokisema miezi michache iliyopita na anachokisema leo!! Mgaya tafadhali ujiuzulu! Si kwa fedheha hiyo!
 
Mgaya huyo huyo aliyesema hanmo za corona hazina ubora, leo anasema ni bora na salama. Fungua link hii hapo chini:
 
Siamini macho yangu! Huyu Mgaya leo anatumia elimu yake kupigia debe chanjo za corona ambazo mwaka huu huu alitumia elimu yake kutuambia chanjo za corona hazina ubora! Ukimwamini propesa kama huyu itabidi ukapimwe kwanza akili! Hebu fungua link hii hapa chini halafu ulinganishe alichokisema miezi michache iliyopita na anachokisema leo!! Mgaya tafadhali ujiuzulu! Si kwa fedheha hiyo!
 
Hamna kitu mle. Kipindi cha awamu ya 5 alituambia chanjo hizi si za kuamini maana utafiti ulitakiwa usipungue miaka 15.
Lkn juzi kule USA alitangaza kusitisha matumizinya Johnson & johnson kwa kuwa ilileta madhara.

Ahakikishiwe kibarua chake kuwa hatafukuzwa kazi maana hapo anachotetea ni pesa
 
Sijamsikia na inawezekana akawa sahihi, ila huyu baba alisoma wapi vaccinology? Yeye yuko kwenye samaki na mambo ya bahari muda wote, authority anaitoa wapi ya kuongelea vaccinology? Tuwekee papers zake kwenye hii field.

Huyu ali advocate malimao na NIMRCAF enzi wa Mwendazake, leo analeta talalila za vaccine.
Mkuu inawezekana vaccinenology kaisomea kwenye mitandao tu, kwavile enzizake za usomi, hakikuwa na habari ya chanjo ya vaccine.
 
Chanjo bado inaendelea na majaribio. Wati wengi wanapiga kelele kuwa ugunduzi wa chanjo hauendi hivi na tararira nyingi. Kwenye emergency kama hii inakuwa ni kazi na dawa. Yaani matokeo ya ufanisi na usalama vinaendelea kupatikana jinsi watu wanavyoendelea kutumia chanjo
 
Back
Top Bottom