Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Watanzania wanaoamini ktk Mungu tuendlee na dua.

Tusivunjwe moyo na sauti za kuzimu kama hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huwa tunamuomba Mungu bila maelekezo yake. Yeye atoe kiasi kwenye zile hela alisema tunazo hata tusipofanya kazi kwa miezi 6. Haya ya sala kuna watu watahimiza.

Kumbuka tulikuwa tunasali kabla ya huu ugonjwa kuja ili usije, ila umekuja tayari. Hivyo yeye kwa nafasi yake sio wa kuhamasisha sala, bali atoe fungu lile alilosema tunalo ili tupambane.
 
Hivi maombi kwa Mungu mpaka watu wapangiwe na mkuu was nchi kuwa tarehe 17 hadi 20 'salini mkimuomba Mungu aepushe hili na lile?

Nani kampa mamlaka hayo? Mbona kila siku tunasali hata wakati ule aliposema corona in jambo dogo tusitishike?

Huyu baba kesha fika mwisho wa uwezo wake na jeuri yake
IMG_20200417_112031.jpg
IMG-20200417-WA0005.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha mungu yupi? wa kwenye miti? acha utani hujui historia wewe, au hiyo nayo utasema imeletwa na mzungu? maana wabongo kila kitu mnasingizia mzungu, hata uende chooni gogo likatae utasikia mzungu kanipa dawa.
Yasyokuhusu yasikuumize fata yako.Imani haichunguziki kisayansi
 
Yasyokuhusu yasikuumize fata yako.Imani haichunguziki kisayansi

We jamaa una matatizo hahaha, sasa we si ndiyo ungeanza kufata yako? mi nilijibu kwenye thread wewe ukajifanya unajua ukaja kunijibu nikakupa live sasa hivi unajifanya eti nifate yangu, aliyemfata mwenzake hapa nani? 😅
 
Kwamfano yeye angeenda akaungana na viongoz wa dini wasali.nasisi wapenzi ama tusiowapenz tuhamasike ila siyo mpaka kushawishiwa kwa maneno
Maswala ya kusali yahamasishwe na viongozi wa dini.

Viongozi wa taifa watupe mipango kazi wanayotumia kuhakikisha tunapambana na Corona.

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
 
Watanzania wanaoamini ktk Mungu tuendlee na dua.

Tusivunjwe moyo na sauti za kuzimu kama hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rais aache mizaha ya kujificha kwenye dini. Hii ni vita kamili dhidi ya ugonjwa unaofahamika kisayansi. Biblia inasema tutaangamia kwa kukosa maarifa!

Rais awape watu mbinu za kitabibu na kiafya za kupambana na Corona kupitia kwa wataalamu tulionao na si vinginvyo!
 
Utakuwa we ni shetani
Shetwani vipi Wakati yeye anahamasisha walionje na shetani?

Atakuwa shetani vipi Wakati shetani kazi yake ni kujenga Ufalme wake?

Mchango wake hapo umeona kunamahali anahamasisha ufalme wa shetani kujengwa?

Walio wa upande wa shetani,wajenge Ufalme wake, na Wa Mungu waachwe wamfanyie Mungu Ibada, daah,

shetani bhana, maneno meeengi vita venyewe hawezi
 
Acha tuombe
Kama mlianza na kuidharau dawa ni kuwajibika tu sio maombi, kama karantini hotelini, watu wanatoroka karantini, mara karantini jihudumie mwenyewe kutokufunga mipaka ya nchi, anga hadi ndege zipungue ndio hatua ichukuliwe, dawa hapo ni kujihuzuru tu kwa kushindwa kuwakinga raia wako si maombi!
 
Back
Top Bottom