Hii ndio comment yangu na mimi kwenye huu uzi.Kama siyo " ukanjanja" Pascal angerithi mikoba ya Tido Mhando kwa ubobezi lakini ndio hivyo tena. MC yeye, Mtangazaji yeye, Mwanasheria yeye, Mpiga kampeni yeye, Mgombea ubunge yeye , mwanajeshi yeye nk nk
Na huo ndio ukanjanja wa mtu kutojikita kwenye taaluma!