#COVID19 Corona: Marekani yaiweka Tanzania katika Mataifa Hatarini

Tofautisha confirmation na ineptness.

Zingatia mfano wa case hii mkononi:

1. Abiria katoka Tanzania na kirusi hatarishi agundulika India
2. Kufuatia hilo, sisi wala haituhusu
3. Tuko busy Tanganyika packers na kesho uwanja utatapika Uhuru vilivyo.

Tofauti waiona hapo mjomba?
Sioni tofauti yoyote, USA kuna cases za Omicron kwenye 1/3 ya states zao, Los Angeles kuna confirmed case(s) za Omicron variant, lakini tarehe 9 December kuna concert kubwa ya Kanye West na Drake "Free Larry Hoover Concert" na itajaza watu kama kawaida, NFL inaendelea na viwanja vimejaa na wapo busy na mambo yao, Omicron haijulikani imeanzia wapi lakini South Africa ndio walikuwa wakwanza kuitangazia dunia kuwa kuna hiyo variant, na response ya dunia ilikuwa ni kuwafungia milango kitendo chenye athari kubwa za kiuchumi, sasa kwanini nchi nyingine ziseme kuna omicron wakati response inajulikana ? Sio

nfl.png
 
View attachment 2037568

Kiwango cha kuchanjwa Marekani na kwetu umejiridhisha kuwa viko sawa?

Vipi viwango vya upimaji kujiridhisha hali nzima ya ugonjwa katika jamii?

Ni vizuri kusema kwa vigezo. Si kusema for the sake.

Kumbuka statement hii ni rasmi na latest kutoka kwa mkuu wa nchi:

"Sisi Corona tumeshaizowea."
 
Kutokana na taarifa za kisayansi variant Omicron inachukuliwa kama ni ya hatari zaidi na inauwezekano mkubwa wa kuwa na athari hata kwa wale waliochanjwa, watu wanatakiwa wachukue tahadhari zote . Kuhusu vaccination rates, hizo hizo developed countries ndio zinazofanya hoarding ya vaccines na kuendelea kutengeneza booster doses huku wanaamini wakiweka travel bans/restrictions zitazuia variants mpya kuingia kwao 👇

Waambieni machanjo yao tumeshachanja wasitutishe tena

Hapa hatishwi mtu. Ila wanachosema si kigeni, akikitumia mno mzee baba mwenyewe:

"Kila mtu na abakie na m@vi yake."

Si unajua kwetu wenye baiskeli za miti ni wajuzi barabarani kuliko hata wenye ma semi trailer?

Kwetu waliokataa kuchanjwa yasemekana ni wengi kuliko waliochanjwa!
 
Kutokana na taarifa za kisayansi variant Omicron inachukuliwa kama ni ya hatari zaidi na inauwezekano mkubwa wa kuwa na athari hata kwa wale waliochanjwa, watu wanatakiwa wachukue tahadhari zote . Kuhusu vaccination rates, hizo hizo developed countries ndio zinazofanya hoarding ya vaccines na kuendelea kutengeneza booster doses huku wanaamini wakiweka travel bans/restrictions zitazuia variants mpya kuingia kwao 👇

Bado tofautisha Kenya na sisi.

Tofautisha wanaotaka chanjo ambazo hazipo na sisi ambako tunahamasishana kwenye level ya juu kabisa kuwa ugonjwa sisi tumeshauzowea.

Kumbuka ni sisi pia tuliokuwa kwenye vita vya kiuchumi, nyungu, maombi na matango pori. Ni sisi tuliohamasishana kwa bashasha kuwa chanjo hazifai na sasa we are at a dead end.

Kumbuka pia ban inatuhusu sisi zaidi tulio wana wakaidi wasiofaidi hadi siku ya Idd.
 
Wana harakati wa Twiter wamekomesha harakati za #Newmonia.?ama iliishia kwa JPM.
 
Goodluck minja ni mchaga siyo msukuma

Tofautisha makabila na itikadi za magenge ya kikabila.

Kwa taarifa yako Goodluck Minja kama walivyo Kingai, Jumanne, Sabaya, Kondakta na hata Mahita wote hao ni wafuasi mahiri wa Sukuma Gang!
 
Wana harakati wa Twiter wamekomesha harakati za #Newmonia.?ama iliishia kwa JPM.

Kumbuka japo kwa kujivuta miguu awamu ya sita ilipiga U-TURN kuhusiana na pneumonia.

"Kumbuka nyungu, maombi, mikaratusi michai chai, malimao nk yote baada ya JPM, tupa kule. Chanjo zimeingia nchini, vita vya kiuchumi navyo vilikwenda na JPM."

Haya ndiyo yaliyokuwa mzizi wa fitina. Ndiyo maana kwa mwuungwana yeyote kwa hali ya sasa atauma na kupuliza:

EU vs Tanzania: Zijue sababu za EU Kuuma na Kupuliza
 
Kiwango cha kuchanjwa Marekani na kwetu umejiridhisha kuwa viko sawa?

Vipi viwango vya upimaji kujiridhisha hali nzima ya ugonjwa katika jamii?

Ni vizuri kusema kwa vigezo. Si kusema for the sake.

Kumbuka statement hii ni rasmi na latest kutoka kwa mkuu wa nchi:

"Sisi Corona tumeshaizowea."
Hoja za Cannabis unazinibu kiwepesi sn

Unauliza kiwango cha kuchanjwa Marekani na kwetu Viko Sawa? Na vipi Hali nzima ya ugonjwa ktk jamii?

Jibu haviko Sawa Kwa sababu Sisi wengi hatujachanja

Lakini Kama wao wamarekani wamechanjwa Kwa kiasi kikubwa na hatari ya maambukizi ni ndogo kwao that's why wanafanya concerts na kufanya mashindano ya Larry kuna ulazima gani wa kupiga ban nchi km Tz au SA wakati asilimia kubwa ya watu wao wamechanjwa? Km wanajilinda dhidi ya maambukizi mbona Tyr kwenye hayo majimbo yenye kufanyika matamasha na mbio za rally kuna kesi za kirusi cha Omicron lkn bado matamasha yanafanyika

Huoni km wanachokifanya haki make sense

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Utakuwa hujanisoma vyema kudhani ninazijibu kwa wepesi. Nyuzi mbili hizi pia zina husika:

#COVID19 - Corona: Wasiochanjwa ni kichocheo kwa Virusi Hatari zaidi

EU vs Tanzania: Zijue sababu za EU Kuuma na Kupuliza

1. Ni kweli kuwa kwa uwepo wa wasiochanjwa, variants zaidi zikiwamo konki kweli kweli zitaendelea kutarajiwa.

2. Ni kweli Kwamba haipo breeding avenue nzuri ya variants hizo kuliko communities za wasiochanjwa.

Mawili hayo hapo juu ni pure science.

Mataifa yaliyostaarabika ikiwamo Marekani kuna sheria za kutosha zinazoshughulika na miingiliano ya watu kuhusiana na ugonjwa huu hadi kwa majimbo:

COVID-19 and Your Health

Ni kwa sababu hizo ndiyo maana kwingine bila kuchanjwa huruhusiwi kujumuika na wengine kama ambavyo ungependa.

Utalinganisha maingiliano hayo na aliko tambulika mgonjwa kutokea kwetu, India na bado hatujali?

Kwamba kuna Omicron Marekani leo? Kuendelea kuifungulia milango Tanzania si ni wazi kuwa labda kama wataamua kukubali tu kwamba basi yaishe?

Ikumbukwe wanakojali, wanapambana kukipunguza kasi ya kusambaa kirusi hiki kwao. Lengo likiwa wapate muda zaidi wa wakukitafakari na kujitathmini ikiwamo uwezo wao wa kukimudu.

Hiki ni kirusi kipya hakuna mwenye ujuzi nacho 100%.

Palikuwa na uzi hapa:

#COVID19 - Tahadhari ya Kirusi kipya kutokea Afrika Kusini

Kama sisi ugonjwa huu hautuhusu kumtegemea na mwingine usimhusu, labda kama tuna agenda ya siri ya kufa naye tu.
 
Back
Top Bottom