#COVID19 Corona: Marekani yaiweka Tanzania katika Mataifa Hatarini

Tofautisha makabila na itikadi za magenge ya kikabila.

Kwa taarifa yako Goodluck Minja kama walivyo Kingai, Jumanne, Sabaya, Kondakta na hata Mahita wote hao ni wafuasi mahiri wa Sukuma Gang!
Ndiyo ujue sukuma gang siyo wasukuma ni wazarendo ,siku zote mnasema sukuma gang ni wasukuma sasa leo umethibitisha mwenyewe
 
Ndiyo ujue sukuma gang siyo wasukuma ni wazarendo ,siku zote mnasema sukuma gang ni wasukuma sasa leo umethibitisha mwenyewe

Sukuma Gang ni jina halijawahi kuwa kabila!

Tofautisha wasukuma kwa ajili ya matambiko na wasaka madaraka kwa gharama yoyote.

Baina ya wajumbe kindaki ndaki wa kundi wasaka tonge hawa hapa:

"Katelefoni, Bashiri, chakubanga, Sabaya, mjumbe wetu Madagascar, humo wagogo, wamakonde, wamasai, hata kuna na warundi nao wamo."
 
Wanahangaika tu, Covid ni ya kuishi nayo tu, haiishi leo wala kesho. Alafu si wanechanja hawa? Wanaogopa nini sasa?
===
Mtu wa Pentagon anashukiwa hivi wakati kakamilika kichanjo.Kwa na nini tusijikubali na maamuzi yetu ya awali?
 
===
Mtu wa Pentagon anashukiwa hivi wakati kakamilika kichanjo.Kwa na nini tusijikubali na maamuzi yetu ya awali?
Inasikitisha
 
===
Mtu wa Pentagon anashukiwa hivi wakati kakamilika kichanjo.Kwa na nini tusijikubali na maamuzi yetu ya awali?

Huyu ana chanjo na booster angali hai na anaendelea na majukumu kutokea nyumbani.

Wenzetu hawakuwa na chanjo kwa jina la kuwa walijikubali na wengine kutolewa kafara bila kupenda na wamekwenda zao.

Bado kuna binadamu haelewi tofauti. Atajifunza wapi huyo:

Pamoja na chanjo za aina zote tunazopokea bado hatuaminiki?

Chanjo zilizokuja ni chache vs population.

Halafu, wangapi wamechanja hadi sasa? Data kibao zinachambuliwa kila siku kufikia maamuzi hayo.
 
Hakuna mwenye mkataba na UHAI.
Siku yako ukifika utaondoka tu.
Iwe Corona,ukimwi, malaria n.k
NI suala la muda.
Maradhi ni chanzo tu.
Very right. Ingawa yeye aliamini katika kutoa uhai wa “msaliti” kifichoni kama adhabu sahihi.

Anyway, the point is, asingepuuzia kujikinga na Covid 19, big possibility leo angekuwepo kutimiza ndoto yake ya kutawala “milele” na kuinyosha nchi iwe kama alivyotaka.
 
Kwani charles mbowe nae alipuuza corona?
 
Sasa siuelezee hapa umuhimuwake, kwani mbaka uweke ma link.

We tueleze kwanini tumechanjwa na tunaonekana hatari.

Ndiyo umuhimu wa references huo.

Si kwa kila mtu lakini 😁😁.
 
una uthibitisho wowote magufuli alikufa na Corona?

Back
Top Bottom