Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Sijaishia hapo

Nimesisitiza kua wale wote wanaodai kua wananguvu yenye huruma kutoka kwa mungu inayoponya kila gonjwa

Ukiona wanasayansi ambao wana dini halafu wanatafuta suluhu nje ya hiyo dhana hapo ndio ujue kua wameaisha elewa kua dhana ya miujiza kupitia maombi ni ulaghai

It's Scars
Kwahiyo wanasayansi kila tatizo wao hutafuta suluhu kwa sayansi? Kwanini huwazungumzii wafanyabiashara,wakulima,wafanyakazi? Makundi yote hayo wapo wana dini na kila mmoja anashughlika na sehemu yake,sasa kwanini husemi mkulima aache kulima na kuomba dua?
 
Na ndiyo maana nilikuwa nakwambia sikungumzii masheikh wala wachungaji nilijua ulikuwa unataka kunipeleka huko.

Twende dogo tutaelewana tu.

Unakubali kwamba haya matatizo yapo kweli? Bila kujari husababishwa na majini wala kuwa ni magonjwa ya akili,nachotaka kujua ni je unakubali kuwa haya matatizo yapo kweli ?

Matatizo gani?

It's Scars
 
Jinsi ulivyoandika unaonesha wazi huelewi maana ya neno "dini".


Qur'an 112:
112_1.gif

1. Sema: Yeye Allah ni wa pekee.

112_2.gif

2. Allah Mkusudiwa.

112_3.gif

3. Hakuzaa wala hakuzaliwa

112_4.gif

4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. 4
Hizo nukuu unahakika gani kwamba zimesema ukweli?

Maana hata Mimi pia naweza kukupa nukuu kuonesha uhodari wa spiderman katika kukwea magorofa utakubali?

Sasa tutajuaje kua ulichokinukuu ni kweli na sio porojo za waarabu?

It's Scars
 
Movie zenye kuhusu Mungu zipo kibao,hata hiyo sijui god must be crazy imehusishwa Mungu. Habari za Mungu si wazo la kufikirika kutoka kwenye movie kama ilivyo kwa spiderman,masuala ya spiderman inaishia kwenye movie huko ndiko yalipoanzia na kuishia na ndiyo maana nakwambia hakuna utata juu ya spiderman.
Unajuaje kua habari za mungu sio za kufikirika kama ilivyo spiderman?

Unaweza kuthibitisha?

It's Scars
 
Vilema wanatembea ,vipofu wanaona blah blah aya corona hiyo ponyesheni hata mmoja holaaa, waafrika ni wapuuzi watakuja kuchekwa sana baadae hapo ulipo dini umefuata mkumbo kwa baba yako,,DINI BIASHARA ,MUNGU STORI ZA VITABUNI, unaziliwa na sio kuumbwa ,,fanyeni kazi hakuna miujiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wanasayansi kila tatizo wao hutafuta suluhu kwa sayansi? Kwanini huwazungumzii wafanyabiashara,wakulima,wafanyakazi? Makundi yote hayo wapo wana dini na kila mmoja anashughlika na sehemu yake,sasa kwanini husemi mkulima aache kulima na kuomba dua?

Unachokihoji wala hakina relation yeyote na hoja yangu, hapa vyoona mwisho wa siku utauliza mbona simzungumzii baba yako

Kwanza kabla ya kutaka kuamisha magoli kwa wakulima nataka nijue hii hoja ya wanasayansi kua na dini tumeimalizaje??

It's Scars
 
Hata baada ya yote haya bado waumini wapo pale pale na wanazidi kuongezeka kwenye hayo makanisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom