People are still dying, jitu linasherehekea s f hakuna waliokufa. Watu wamekufa wengi na sasa baada ya jkuona hospital hakuna kitu, wanaamua kufia nyumbani! au kuugulia nyumbani! Wamekufa watu ambao wasingelikufa kama lockdown ingelikuwepo even partial one! Hivi UK kukoje?
ushahidi unao wa watu wanaokufa ..leta ushahidi wa picha, majibu ya vipimo kwamba ni korona inawaua na pia ushahidi wa mazishiPeople are still dying, jitu linasherehekea s f hakuna waliokufa. Watu wamekufa wengi na sasa baada ya jkuona hospital hakuna kitu, wanaamua kufia nyumbani! au kuugulia nyumbani! Wamekufa watu ambao wasingelikufa kama lockdown ingelikuwepo even partial one! Hivi UK kukoje?
Hao wanao fia kwao wanazikiwa wapi Mkuu .People are still dying, jitu linasherehekea s f hakuna waliokufa. Watu wamekufa wengi na sasa baada ya jkuona hospital hakuna kitu, wanaamua kufia nyumbani! au kuugulia nyumbani! Wamekufa watu ambao wasingelikufa kama lockdown ingelikuwepo even partial one! Hivi UK kukoje?
Watu mnapenda lockdown sijui sababu mna mishahara hamuangalii hali yetu tunaopata ela ya kula kwa siku unataka tufe na njaa si bora corona kuliko kufa na njaaPeople are still dying, jitu linasherehekea s f hakuna waliokufa. Watu wamekufa wengi na sasa baada ya jkuona hospital hakuna kitu, wanaamua kufia nyumbani! au kuugulia nyumbani! Wamekufa watu ambao wasingelikufa kama lockdown ingelikuwepo even partial one! Hivi UK kukoje?
Pongezi zangu za dhati kwa Mkuu we Mkoa wa kihistoria DAR tangu tupate Uhuru ndugu Paul Makonda
Hili hata Mimi linanishangaza kwa kweli...tunaambiwa watu wamekufa wengi lakini mbona hatuoni misiba mitaani? Yaani tuamini kuwa misiba inakuwa Siri? Hata huko vijijini hatusikii..Sasa hao wanaokufa wengi ni wapi huko?Hao wanao fia kwao wanazikiwa wapi Mkuu .
Mbona hatuoni mfululizo wa Mazishi au vifo Uku mitaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawezaje kuwa na uhakika kuwa watu hawafi?watu wamefiwa na watu wao sababu ya huu ugonjwa na sio lazima watangaze wamefiwa tupo 56 milioni nchi nzima utapataje taarifa bila kuambiwa?Hili hata Mimi linanishangaza kwa kweli...tunaambiwa watu wamekufa wengi lakini mbona hatuoni misiba mitaani? Yaani tuamini kuwa misiba inakuwa Siri? Hata huko vijijini hatusikii..Sasa hao wanaokufa wengi ni wapi huko?