Corona festival ni ajabu la dunia kusheherekea msiba wa wengi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,268
1590203064452.png
 
Poleni MABEBERU najua mlikua mnataka kusikia watu wakifa sana ila kupitia serikali ya awamu ya tano chini ya jemedari Magufuli tumeishinda vita hii nzito na tunaenda kumshukuru Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
People are still dying, jitu linasherehekea s f hakuna waliokufa. Watu wamekufa wengi na sasa baada ya jkuona hospital hakuna kitu, wanaamua kufia nyumbani! au kuugulia nyumbani! Wamekufa watu ambao wasingelikufa kama lockdown ingelikuwepo even partial one! Hivi UK kukoje?
ushahidi unao wa watu wanaokufa ..leta ushahidi wa picha, majibu ya vipimo kwamba ni korona inawaua na pia ushahidi wa mazishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
People are still dying, jitu linasherehekea s f hakuna waliokufa. Watu wamekufa wengi na sasa baada ya jkuona hospital hakuna kitu, wanaamua kufia nyumbani! au kuugulia nyumbani! Wamekufa watu ambao wasingelikufa kama lockdown ingelikuwepo even partial one! Hivi UK kukoje?
Hao wanao fia kwao wanazikiwa wapi Mkuu .
Mbona hatuoni mfululizo wa Mazishi au vifo Uku mitaani

Watu mnapenda lockdown sijui sababu mna mishahara hamuangalii hali yetu tunaopata ela ya kula kwa siku unataka tufe na njaa si bora corona kuliko kufa na njaa
 
Kwa hili Mimi makonda sjamkubali,hasa katika mambo ya imani.
Ni sawa na wana wa Israel walipovuka sham wakatengeneza sanamu ya ndama ili waiabudu
 
Hao wanao fia kwao wanazikiwa wapi Mkuu .
Mbona hatuoni mfululizo wa Mazishi au vifo Uku mitaani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili hata Mimi linanishangaza kwa kweli...tunaambiwa watu wamekufa wengi lakini mbona hatuoni misiba mitaani? Yaani tuamini kuwa misiba inakuwa Siri? Hata huko vijijini hatusikii..Sasa hao wanaokufa wengi ni wapi huko?
 
Unawezaje kuwa na uhakika kuwa watu hawafi?watu wamefiwa na watu wao sababu ya huu ugonjwa na sio lazima watangaze wamefiwa tupo 56 milioni nchi nzima utapataje taarifa bila kuambiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom