Je, mwisho wa dunia umekaribia?

brownboy

Senior Member
Jun 10, 2023
100
267
Kwa matukio haya yanayoendelea ni dhahiri kuwa mwisho wa dunia unakaribia. Matetemeko yasiyo kadiriwa vita, njaa mafuriko, ugonjwa( Corona ) ambayo imefika dunia nzima.

Na Sasa tunaona vita vya israel vs vikipamba moto. Huku ikiigawa dunia katika pande mbili. jews Christians against muslim + haters wa Marekani na western world huku Afrika nayo ikijigawa katika makundi mawili Muslims vs christians .

Ni dhahiri huu ndo mwisho wa matukio
 
Dini zimewajaza ujinga.
Huyu anayesema hivi amesahau alikuwa ugali maharage kwenye viuno vya baba yake.
Baba yake akamtafuta mama yake wakajamiiana.akawashinda wenzake zaidi ya mabilioni akawa mshindi yeye.mimba yake ikatungwa akakaa ndani ya tumbo la mama yake hana hili wala lile.akakaa ndani ya tumbo la mama yake kwa miezi 9.akazaliwa leo anajibu jeuri.kweli binadamu hana shukrani.
Kama dunia ilikuwa na mwanzo kwanini ISIWE NA MWISHO?
 
Anakiburi cha uzima
 
The world has no end it's infinity, from dinosaurs to Dryopithecus
Ramapithecus
Australopithecus
Homo Erectus
Homo Sapiens Neanderthalensis
Homo Sapiens Sapiens
She is the mother of all ages
 
Mathayo 24: 4 Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye.
7 Kwa maana taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme; kutakuwa na njaa, na matetemeko ya nchi mahali mahali.
11 Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.

Nahuu ndio mwisho wa Dunia uliotabiriwa toka enzi. Kama ilivyokuwa wakati wa Nuhu, wanadamu tunaangalia haya kama Movie flani hivi, lakini ndo mwisho unawadia
 
Kumbe wewe hoja yako iliegemea kwenye "kudhani'
hapana.ila unatakiwa udhani kwanzà.ikiwa una akili utawaza.inawezekana vipi hivi vitu viwepo bila mwenyewe.
hivi ukikuta magari mapya maporini huko yaani yapò 0 kilometa .utasema hayana mwenewe ?sababu haumuoni?
 
Nikitumia hiyo principle yako bila kui-violent itanipeleka kwenye chanzo ambacho nacho nitauliza swali hilo hilo

Je tutarajie kupata majibu yaleyale yanayoonesha kuwa haiwezekani hicho chanzo kilichofanya dunia iwepo kikawepo tu bila chanzo?
 
Yeye ni ALPHA NA OMEGA.wa mwanzo na wa mwisho.mimi na wewe tumekuja tu dunia tumeikuta.haizewekani dunia isiwe na mwenyewe hata kama haonekani.
 
Kwa matukio haya yanayoendelea ni dhahiri kuwa mwisho wa dunia unakaribia. Matetemeko yasiyo kadiriwa vita, njaa mafuriko, ugonjwa( Corona ) ambayo imefika dunia nzima.

Na Sasa tunaona vita vya israel vs vikipamba moto. Huku ikiigawa dunia katika pande mbili. jews Christians against muslim + haters wa marekani na western world huku Afrika nayo ikijigawa katika makundi mawili Muslims vs christians .

Ni dhahiri huu ndo mwisho wa matukio
Dunia haiishi hivyo

Jibu hilo ni la kidini zaidi.

Mafundisho ya dini yasikufanye uwe mjinga
 
Back
Top Bottom