#COVID19 Corona: Bila Barakoa Dar, Hupandi hata Daladala

At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
3,889
2,000
Taratibu tunasonga na uelekeo huu si mbaya.

View attachment 1869387

Bila barakoa tusionane kwenye usafiri wa umma yaani mabasi zikiwamo dala dala na ferry. Tusionane pia sokoni wala popote penye mikusanyiko.

Hili si ombi bali rasmi ni lazima.

-----
My take:

Ugonjwa huu ni hatari. Hatua hizi ni muafaka pole pole tutaelewana tu.
Haaa mbona mimi nimepanda hata, 0fisini nimetinga bila Barakoa
 

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
12,535
2,000
Ndio, naenda sahvi nimepanda daladala

Jiridhishe haikuwa ndoto:

IMG_20210727_102359_802.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom