Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,180
- Thread starter
- #161
My mother tongueHii ni lugha gani Mkuu?????????
My mother tongueHii ni lugha gani Mkuu?????????
Mkuu sijasema niko sahihi ila umu jukwaani Kuna much know Sana ata kama kingereza kimepinda la msingi ujumbe umefika. Apo mtu ilitakiwa a comment nilichopost na sio kutanguliza kejeli. Ila sio ajab Ndio watanzania tulivyoI think he is kidding, mnapoteza muda wa kulumbana naye. Haiwezekani kwa comments zote hizi aendelee kubisha tu, na ajione kuwa yupo sahihi kwa lugha aliyoitumia, atakuwa anatania. Anataka awatoe watu mapovu.
Ila kama atakuwa anamaanisha na hatanii, basi cha ARUSHA kinahusika. Huu ni mtazamo wangu tu. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hujielewi watu wote wanakupinga wewe ndo kwanza unakomaa kutetea utoto ulioandikaMkuu sijasema niko sahihi ila umu jukwaani Kuna much know Sana ata kama kingereza kimepinda la msingi ujumbe umefika. Apo mtu ilitakiwa a comment nilichopost na sio kutanguliza kejeli. Ila sio ajab Ndio watanzania tulivyo
Akili yako inasadiki na ulichokiandika apa. Sio kosa lakoMleta mada, si ungeandika Kiswahili tu?
Halafu utakuta huyo ni msomi wa chuo kikuu.
Bora ungeandika kiswahili tu maana hiki kiingereza balaaaIt's high time now to proud the private Universities for their work hard to produce students with quality knowledge than public universities.
Mwembe wenye matunda ndo unatupiwa mawe.. Pungu wa antananarivo weeHujielewi watu wote wanakupinga wewe ndo kwanza unakomaa kutetea utoto ulioandika
Watu wote wawe matahira kukupinga wewe kwamba wana kisa gani nawewe?
Jifunze kutoka kwa wengine sio lazima ujue kila jambo mengine unatakiwa kujifunza kutoka kwa watu.
Msomi ni mtu mwepesi katika kujifunza otherwise hata hiyo degree yako inatia mashaka
We ndie wale wale wa GPA za kuunga unga so lazima utabeza tuBora ungeandika kiswahili tu maana hiki kiingereza balaaa
Hujui ulisemalo!!!! Mm niko poa kwenye swala la shule!!!!We ndie wale wale wa GPA za kuunga unga so lazima utabeza tu
"For produce" hiki ni kiingereza? Au ndio wewe G.P.A yako ya uongo mpaka unachapia hivi na unakuwa mkali?We ndie wale wale wa GPA za kuunga unga so lazima utabeza tu
Kama ujui kingereza tumia kiswahili tuIt's high time now to proud the private Universities for their work hard to produce students with quality knowledge than public universities.
Hilo jamaa libishi linaamini linajua kila kitu fuatilia uzi kuanzia mwanzo wachangiaji wanamponda yeye kabakiza kazi ya kujitetea na kutukana watu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama ujui kingereza tumia kiswahili tu
Anatumia uti wa mgongo kufikir badala ya ubongo ndio shida inapo anziaHilo jamaa libishi linaamini linajua kila kitu fuatilia uzi kuanzia mwanzo wachangiaji wanamponda yeye kabakiza kazi ya kujitetea na kutukana watu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lugha ya malkia sio kitu cha sport sport
Wengi ninaowakung'uta ni wale wenye kukejeli tu ila kama umechangia mada kwa amani Siwezi kukukung'uta. Mfano kama wewe ivi. Mtu mwenyewe ni mhanga wa ki GPA cha kutazama na tochiHilo jamaa libishi linaamini linajua kila kitu fuatilia uzi kuanzia mwanzo wachangiaji wanamponda yeye kabakiza kazi ya kujitetea na kutukana watu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lugha ya malkia sio kitu cha sport sport
Akili zako fupi mkuu sio kosa lakoAnatumia uti wa mgongo kufikir badala ya ubongo ndio shida inapo anzia
Ongea chako mkuu tuoneHichi kingereza hiki... Maanina.. Waiter ongeza bia
Hahahaaa mtu mzima kujisifia GPA ni aibu watu wanajisifia pesa na mishemishe kwenye maishaWengi ninaowakung'uta ni wale wenye kukejeli tu ila kama umechangia mada kwa amani Siwezi kukukung'uta. Mfano kama wewe ivi. Mtu mwenyewe ni mhanga wa ki GPA cha kutazama na tochi
Angalao umeongea point yani mkuu adi ukung'utwe ndo una obey....Hahahaaa mtu mzima kujisifia GPA ni aibu watu wanajisifia pesa na mishemishe kwenye maisha
Tafuta pesa GPA yangu naijua mimi hata nikikwambia hutaamini na wala hatujuani
We kila kukicha tafuta hela, saivi waza kupata hela nyingi sana
Achana na GPA narudia tafuta helaaaa
GPA yangu ipo kwenye vyeti kazi nilishapata ila tatizo sijapata pesa za kunifanya niridhike
Tatizo langu ni pesa tuuu
Nawewe tafuta helaaaa
Ahaha... kuwa ninastahili kuitwa Sir.Lizarazu!!? inasound poa lakini. comment yako ya awali imeelezea kila kitu mkuu hata nilichotaka kusema mimi.Kiingereza chako. Na Nyani Ngabu. Na Kiranga. Kilishanishinda. Nadhani mnastahili u-Sir kutoka kwa Malkia. Mnaijua lugha yake kwa ufasaha wa ajabu. Na huyu mwenzangu na mimi mleta mada hata sijui kama ataelewa cho chote katika hii comment yako. Asante!!!