Tuko hapa kwenye kikao na mamembaz wa jf arusha wing, Erickb52 yupo na ndyofu ya tatu hahaaaaaa.
Wacha mchezo na ndyofu banaaaaa
Erickb52 alikuwa anamfukuzia binti mlokole............. naye kajifanya mlokole na baybo mkononi..................... alipomkwanyua karudi nyumbani ......................... ndyofu kama kawa....................... huo ni mchezo wake na akina Mr Rocky, Arushaone, na kwa mbaaaali hako ka mchezo pia anako babu AsprinChezea maji ya ilala weye, nilisema labda kuna kademu alikuwa anakafukuzia kakampa sharti hilo, ameshakalamba karudi NYUMBANI
Erickb52 alizidiwa sana na ndyofu jana kiasi cha kupotezwa memory.............................. tulimkabidhi Preta kumpeleka homu bila shaka alimfikisha salama hahaaaaaaaa............................................. ogopa kiu ya ndyofu weweeeeeeeMungi Mzee wa Rula, PakaJimmy Filipo Preta Blaki Womani naamini mlihakikisha Erickb52 amerudi nyumbani salama na hajadondoka kwenye mtaro pale ngulelo
Baba V chezea Amyner wewe kaweka sharti kabisa kuwa jamaa asinywe ndyofu na akinywa hampati tena
Erickb52 karibu kwenye ulimwengu wa ndyofu bana
mweh mweh
ahahahahhahhahhahha wapiiiii!NDO BAS TENAAAAAA!Hahahahahahahaaaaaa
Mzee wa Rula unanifanya nitamani kuongeza nyingine
AHAHAHHAHAHHAHAHAHHAHAHH!KIKO WAPI!oh mi na ndyofu bai bai!Tuko hapa kwenye kikao na mamembaz wa jf arusha wing, Erickb52 yupo na ndyofu ya tatu hahaaaaaa.
Wacha mchezo na ndyofu banaaaaa
shemeji hapa ututake radhi....nani yupo bwax....?
Erickb52 alikuwa anamfukuzia binti mlokole............. naye kajifanya mlokole na baybo mkononi..................... alipomkwanyua karudi nyumbani ......................... ndyofu kama kawa....................... huo ni mchezo wake na akina Mr Rocky, Arushaone, na kwa mbaaaali hako ka mchezo pia anako babu Asprin
Habari yako bhana ndio nazinduka, hee kumbe mmeshaondoka, hivi ni saa ngapi? kazi kweli kweli.
Twende kwenye mazimuzi Lily Flower.
Nakuja order ya supu iwe ya kutosha najua kuna ambao watafuata lokesheni ya supu PakaJimmy Preta Erickb52 Blaki Womani Mungi Filipo LiverpoolFC huyu sijui kama aliondoka pale salama Mzee wa Rula sidhani kama atajongea.
Popote ulipo charminglady, waweza nambia Kipipi kitamu na Mzee wa Rula hapa wanazungumzia makitu gani?
Ni mimi tu nimebakia, ni mimi tu kuwapelekea habari Mtambuzi, cacico, Madame B na ............. (invizibo) LOL